Kilimo Cha Pilipili Hoho (Red and Yellow)

Madrid86

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
1,331
Points
2,000

Madrid86

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
1,331 2,000
Habari za humu wadau.
Nlkua naomba kujua soko la pilipili hoho za yellow na red kwa mkoa wa Arusha na mikoa jirani pia limekaaje. Nataka nianze kulima hizo hoho mwezi wa 11/12 mwaka huu kwenye green house.
Maoni/ushauri wadau.
Asanteni.
 

Forum statistics

Threads 1,343,294
Members 515,003
Posts 32,779,496
Top