Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Hili zao kweli ni deal ila mpaka uliuze ni mziki na wengi hawajui hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, Mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo. Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.

Wakenya wenzetu wana export to UK. Jambo lingine ni kwamba Parachichi za Tanzania zinaenda msimu tofauti na ulaya hata tulime ardhi ya mikoa yote inayostawi parachichi hatutoshelezi soko la dunia. Mikoa inayastawi parachichi ni Mbeya, Njombe, Arusha Kilimanjaro, Kgera na Kigoma. Kila sehemu inayostawi kahawa na chai parachichi itakubali.
 
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
Wanataka parachichi isiopita kwenye kikkmbe cha chai ndio standard yao.unataka wachume hadi vidogo, hivi wewe ukienda kununua paraachich sokon unachagua hadi tudogo?
 
Kusini hili zao huitwa green gold, wengi wametoka.

So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. Ukipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years, mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500. UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg. Assume kilo moja ni 1500tshs (bei ya leo Njombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil (mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)

Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.

Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na Njombe kuwa na better future yako na ya wanao.
 
Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na NJombe kuwa na better future yako na ya wanao

Signature

Mkuu hivi hao wanunuzi sio hawa wanaotoa masharti kwamba lazima itumike mbolea ya wanyama tu au?
 
Panda mbegu moja inaitwa Hass. Kwanza ndo parachichi tamu zaidi likiiva na yanapelekwa hadi masoko ya nje, kama unafanyia Moshi nenda Usa River Arusha, kuna chama kinaitwa TAHA. Ukiweza waGoogle watakupatia mbegu idadi yeyote utakayo; hata miche na unapewa bure yakiiva wanakutafutia na soko wao wanakukata asilimia 10% ya malipo yako, hawana wizi wala konakona wateja wanao tayari.
Mbegu bora ni HASS ni nzuri kwa maana kiwango cha mafuta, palatability na shlev life yake ni kubwa sana
Kama unalima Moshi Hakikisha hali ya hewa ya mahalia haizidi 30 nyuzi joto hali ya udongo usiotuamisha maji.
Mbegu zinapatikana hapo SIHA kwenye shamba la Africado, bei maelewano.

Uzalishaji: Kulingana na utaalamu ekari moja ni miche kat ya 40 - 106. hii inategemea unataka kuleaji miti yako, kama utaicha iwe bush 40 ni sahihi. kama unauwezo wa kulea vizuri bila kuiacha iwe miti mikubwa 72 - 106. ukienda siha utaona mashamba ni aina mbalimbali za upandaji.

Kuhusu mavuno: Mti mmoja unaweza kutoa hadi 200kg (export quality fruit) kama umelenga masoko mengine unaweza kupata hadi 400kg kwa mti wenye miaka 6 na kuendelea. mavuno yanaanza mwaka wa nne.

Bei ya maparachichi kwa msimu huu imesimama 1450/kg kwa yale yanayosarishwa nje. Kumbuka kuna size 12,14,16, 18, 20, 24, 26 kwa lugha nyepesi hiyo idadi intakiwa ifike 4kg

Parachichi zinalipa sana ila kabla hujafanya chochote nenda kawatembelee Africado na wakulima, ama nenda Njombe kawatembelee wakulima na Mnununuzi Korongo 3 au nenda Rungwe uonane na wakulima kupitia umoja wao UWAMARU, ongea nao kisha wanuunuzi KUZA Africa, Rungwe Avocado, Korongo 3, Biofarm/Biofresh usikie na upate mengi ndio uamue kama uwekeze au la.
 
Sio kweli, Mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo. Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.

Wakenya wenzetu wana export to UK. Jambo lingine ni kwamba Parachichi za Tanzania zinaenda msimu tofauti na ulaya hata tulime ardhi ya mikoa yote inayostawi parachichi hatutoshelezi soko la dunia. Mikoa inayastawi parachichi ni Mbeya, Njombe, Arusha Kilimanjaro, Kgera na Kigoma. Kila sehemu inayostawi kahawa na chai parachichi itakubali.
Na Iringa mkuu huko wilaya ya Kilolo kuna mzungu moja amepanda ekari za kutosha!
 
Kama kuna mtaalamu wa kilimo naomba msaada kwa maeneo ya huku Katavi - Inyonga. Nimepanda miche ya parachichi nataka kuwekeza. Je, kwa eneo letu huku ninaweza kupata matokeo chanya?
 
Kama kuna mtaalamu wa kilimo naomba msaada kwa maeneo ya huku katavi-inyonga nimepanda miche ya parachichi nataka kuwekeza.
Je kwa eneo letu huku ninaweza kupata matokeo chanya?
Katavi sio maeneo salama kwa parachichi mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.

Kwa Sumbawanga ukipata eneo itakuwa vizuri zaidi au Nkasi.

Ukifanya na taratibu za kujiunga na ushirika wa UWAMARU itakuwa jambo la kheri zaidi sababu hata pindi wakati wa mavuno ukianza itakuwa rahisi kuunganishwa na wanunuzi. Jambo la msingi kuhamasisha na wengine wengi zaidi ili hata mnunuzi anapo toka Mbeya kuja Rukwa asije kwaajili ya 1tone.

Wanunuzi wapo wengi tu ila niutayari wako kuchangamkia fursa na tunavoendelea mbele zaidi wanazidiongezeka sababu ya ujio wa ndege ya mizigo kuanza kutua Songwe International Airport ndani ya mwaka huu kulingana na maelezo ya Waziri Mwenye dhamana.
 
Katavi sio maeneo salama kwa parachichi Mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.

Vipi hali ya hewa ya MBINGA - Ruvuma inaweza faa
 
Ye

Ndio Mkuu Mbinga pia inakubari vizuri sana nako kiufupi ukanda wote wa nyanda za juu kusini nilishangaa kuona hata bonde la usangu nako zinaota.

Chamsingi kwa mikoa ambapo bado watu wake hawajachangamka kufanya Kilimo hiki, inakuwa vizuri zaidi kama wewe mkatafuta kikundi cha watu kadhaa ambao mnaweza toa hamasa kwa wadau wengine ikiwemo kuzihusisha na ngazi za serikali ilikuweza kusambaza ujumbe kwa watu wengi zaidi. Wanunuzi wapo wakutosha tu.

Njombe kunawakati utaona mpaka Mkuu wa mkoa na kamati yake ikiwamo na wadau/wanaushirika wanaingia Vijijini kuhamasisha watu wake watoe miti wapande parachichi
 
Katavi sio maeneo salama kwa parachichi Mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.
Kwa Sumbawanga ukipata eneo itakuwa vizuri zaidi au Nkasi.

Ukifanya na taratibu za kujiunga na ushirika wa UWAMARU itakuwa jambo la kheri zaidi sababu hata pindi wakati wa mavuno ukianza itakuwa rahisi kuunganishwa na wanunuzi. Jambo la msingi kuhamasisha na wengine wengi zaidi ili hata mnunuzi anapo toka Mbeya kuja Rukwa asije kwaajili ya 1tone.

Wanunuzi wapo wengi tu ila niutayari wako kuchangamkia fursa na tunavoendelea mbele zaidi wanazidiongezeka sababu ya ujio wa ndege ya mizigo kuanza kutua Songwe International Airport ndani ya mwaka huu kulingana na maelezo ya Waziri Mwenye dhamana.
Duuh! Ngoja nijaribu kwani nimekwisha panda miche 150 na kisima kwaajili ya umwagiliaji kiangazi nimechimba, pia nilitaka kutafuta shamba jingine ili niweze kujiunga na kampun hizo hapo juu ili kupata miche toka kwao pia na ushaur kwa kila hatua.
Mazingira yananibana kutoka hapa na kwenda maeneo hayo kwa ufuatiliaji wa maendeleo ya mradi mara kwa mara
 
Hapa

Hapana Mkuu biashara huwa haturuhusu kujaribu huwa tunafanya ila kwa ushauri zaidi usingefanya kuongeza shamba jengine kwasababu kwa mnunuzi kufunga safari kuja kuchuma matunda kwenye miti 150 ambayo nisawa na ekari moja inaweza kuwa ngumu kidogo hasa ukiangalia katika mkoa huo wa katavi mkawa wa chache mnaolima. Sina maana kwamba uache kulima ila maada ya miaka kadhaa ikishakua nakuanza kutoa matunda unaweza kuwa msambazaji mwenyew hapo katavi sababu asilimia kubwa ya matunda ya parachichi kwa hapo wanatoa sumbawanga na Mbeya.

Kunamuwekezaji mmoja ivi katoka South Africa ni muwakilishi kutoka kampuni inaitwa Avocado Healthy Limited yupo kagera kalima sana Kule inavyosemekana hivo ukipata hata kigoma maana nako zinakubari vizuri tu kama sehemu uliopo nijilani na kigoma kama unataka kupata wanunuzi wa uhakika
 
Samahani mkuu

Eti hawa Africado wananunua shilingi ngapi kwa moja moja haya maparachichi Organic?
Africado sina hakika kuhusu bei lakini njombe, rungwe bei ni 1450-2000 kutegemea na ubora. Average matunda 3 ni kilo moja.

Nashukuru wengi wamefafanua vizuri sana. Parachichi ni uwekezaji mzuri sana iwapo utafuata niliyoyaeleza huko mwanzo, soko lake duniani linazidi kukua kila mwaka na wanunuzi wanavyozidi kuja tz na bei inazidi kupanda
 
Kusini hili zao huitwa green gold, wengi wametoka.

So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. Ukipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years, mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500. UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg. Assume kilo moja ni 1500tshs (bei ya leo Njombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil (mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)

Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.

Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na Njombe kuwa na better future yako na ya wanao.
Mkuu rais atakwenda kufungua rungwe avocado j3 au j4 bila shaka mengi mazuri kuhusu muelekeo wa avocado yataongelewa
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom