mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 470
- 1,443
Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.