Hiii bongo hatulimi hiii Ardhi yetu haikubal kabisaPicha kwa hisani ya Google. View attachment 778343View attachment 778344
Mkuu ardhi ya kwenu wapi haikubali?Hiii bongo hatulimi hiii Ardhi yetu haikubal kabisa
Pia ingia Google utapata details zote,kinastawi mazingira yeyote zaidi kwenye joto, pia sehemu kame,na zisizo na rutuba.soko labda uexport kwenye viwanda vya madawa nje.Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc.
Natanguliza shukrani.
Zinazalisha mafuta kwa ajili ya vipodozi,Urembo,sabuni,mafuta ya kuwashia taa,Magari nkBongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa hii helpful comment. Naomba kuuliza pia, inachukua mda gani kutoka uotaji wake mpk uvunaji?Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Mkuu we uliishi mpwapwa miaka ipi ?Mkuu TIBIM nimekusoma asante ,nilichokua nakijua enzi zetu huko Mpwapwa kipindi cha baridi miguu ilikua ikipasuka kwa kiswahi kizuri machacha tulikua tunaponda nyonyo na kupaka ,au tunaambiwa zinatengeneza mafuta ya ndege ahahaha
Naomba unipe mwanga kwenye kupanga uzazi na kusababisha ugumbaNyonyo zinatumika pia kupanga uzazi ila pia zinaweza kukupa Ugumba.