"Kilimo cha Nyoka" toka kwa motivational speakers

Nimecheka sana sana.

Nimegalagala chini kwenye sakafu kwa kicheko huku nikitoa sauti kubwa sana.

Dunia ina vichekesho kama ya chama changu cha mapinduzi ,Kuna wakati mambo yanabana mpaka tunakuwa motivational speakers kujaribu kujibu hoja ambazo tunajua tumekosea.

All in all, Hii ya kufuga Cobra hawaelezei siku uking'atwa bei ya kujitibu ni kiasi gani?

Wengi ya hawa motivotional speakers ni choka mbaya ,wanatafuta suti mbili kwa ajili ya kufanyia semina wao hawana hata mradi wa kufuga sisimizi tu.

Hata hivyo uchaguzi huu tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
 
Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndo suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.

Fikiria uwe na cobra kumi , cobra mmoja anataga mayai sitini, kwa mwezi anatotoa. sitini mara kumi ni 600,* 600*12= *7200* kwa hiyo kwa mwaka unakua na *cobra 7200* na cobra mmoja anatoa *gram 10 za sumu* kwa siku sasa inakua ni 7200*10= *72000* sasa gramu 72000*1880= *135,360,000* hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua 135,360,000*10= *1,353,600,000* maanake kwa mwaka mmoja kwa cobra tuu acha *black mamba,* *kifutu *nk** unakua na *bilioni 1.4*

Sasa hapo toa garama ya *panya* wa kuliwa na cobra plus usafi hivii ambayo ni ka milioni mia ivi maana Panya nao unafuga tu apo unawalisha *pumba* na wayawaya ivi basii sasa mwaka mmoja faida yako ni *bilioni moja* na kitu kwa mtaji wa *cobra kumi* tuu

Motivational speakers watatuua,
 
Uwekezaji huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu Mmoja namfahamu yuko tbl anaitwa f.butala ana snake park Dah kna wakati alinipeleka
Bagamoyo kutembelea mijoka kibao
Sema kna wakati nlikuwaga Brazil tuliendaga sehemu fulani ya majoka aise kuna mianaconda ya hatari mkipita mijoka inakuja inapiga cage ile ya Kioo unaskia kbsa mtiikisiko
Nkasema Hawa wakijitela siku kuacha upenyo na wakatoka itakuwa balaa

Ova
 
Kuna mtu Mmoja namfahamu yuko tbl anaitwa f.butala ana snake park Dah kna wakati alinipeleka
Bagamoyo kutembelea mijoka kibao
Sema kna wakati nlikuwaga Brazil tuliendaga sehemu fulani ya majoka aise kuna mianaconda ya hatari mkipita mijoka inakuja inapiga cage ile ya Kioo unaskia kbsa mtiikisiko
Nkasema Hawa wakijitela siku kuacha upenyo na wakatoka itakuwa balaa

Ova
Duh huko Bwagamoyo sio kwenye lile shamba la Nazjaz Kweli
 
Back
Top Bottom