Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,973
Tz hamna bwn wala bi shamba. Waulize kuhusu madawa utashangaa anavojingata na majibu yasiyoeleweka
Bacteria canker na WiltHuu ni ugonjwa gani wadau na ninawezaje kuutibuView attachment 1050113View attachment 1050114View attachment 1050116View attachment 1050115View attachment 1050119View attachment 1050121
Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante naweza kutibu na dawa zipi kiongoziBacteria canker na Wilt
Kwenye tunda na kwenye shina yote ni bacterial diseases, huwa hazina dawa ila atleast ukitumia kati ya dawa yenye copper, sulphur au mancozeb zinapunguza usambaaji na pia huweza kuponesha michache.Huu ni ugonjwa gani wadau na ninawezaje kuutibuView attachment 1050113View attachment 1050114View attachment 1050116View attachment 1050115View attachment 1050119View attachment 1050121
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani brother, aksante mno.Kwenye tunda na kwenye shina yote ni bacterial diseases, huwa hazina dawa ila atleast ukitumia kati ya dawa yenye copper, sulphur au mancozeb zinapunguza usambaaji na pia huweza kuponesha michache.
Chukua tancopper changanya na ebony 80 (dawa yoyote yenye copper na yenye mancozeb) kisha upige ili isisambae maeneo mengine na pia uipunguze kasi
Few years from now you may wish you should have started today...
safi sana mtaalam kwa kutupa ujuzi... ivi ukitaka ugonjwa huu usiingie shambani unafanyajeKwenye tunda na kwenye shina yote ni bacterial diseases, huwa hazina dawa ila atleast ukitumia kati ya dawa yenye copper, sulphur au mancozeb zinapunguza usambaaji na pia huweza kuponesha michache.
Chukua tancopper changanya na ebony 80 (dawa yoyote yenye copper na yenye mancozeb) kisha upige ili isisambae maeneo mengine na pia uipunguze kasi
Few years from now you may wish you should have started today...
Kiongizi naomba no yako ya simuNatafuta mbegu inayostawi maeneo ya pwani kibaha,Eden nimeulizia wanasema ni gharama Sana kuitunza
Gram 30Jamani, ili nipande ekari moja ya nyanya nahitaji mbegu kiasi gani na itagharimu sh ngapi.
Asante mkuu,Gram 30
Lima mbegu chotara (hybrid)mfano assila f1 eden f1 kwa kifupi mbegu za f1Asante mkuu,
Ila nina swali lingine, je una uzoefu na mbegu tofauti tofauti? Ni mbegu zipi zinaongoza kwa sifa ya kustahimili magonjwa, na yenye kuzaa sana na inayoweza kuvunwa muda mrefu?
Wapendwa wana JF, Happy New Year!
Jamani nina interest ya kulima nyanya kibiashara. Naomba ushauri juu ya utunzaji wa shamba, mimea hadi matunda pamoja na challenges. Nina imani nyanya zinaweza kunitoa, kwa muono wangu.
Wenye ujuzi naomba msaada.
Thanks in advance.
Je ni aina gani ya nyanya inastahimili maeneo ya joto?