Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

wapo njiani mkuu, usikate tamaa. Ila fikiria Greenhouse kuliko kufanya kilimo cha nyanya kwenye shamba la wazi kwa wakati wa mvua.

greenhouse ndo my target ila nachotaka nipate mtaji kwanza wa kuwekeza kwenye hiyo. Nina heka 7 mlandiz ambazo nataka nizigeuze full green house now ufugaji with nguruwe
 
greenhouse ndo my target ila nachotaka nipate mtaji kwanza wa kuwekeza kwenye hiyo. Nina heka 7 mlandiz ambazo nataka nizigeuze full green house now ufugaji with nguruwe

ukifanikisha japo nusu ya eneo lako kujenga greenhouse kibongobongo umetoka, tuombe baraka za Mungu atufungulie japo kwa hatua, ufugaji wa nguruwe kama una chanzo kizuri cha uhakika cha chakula cha bei nafuu ni mradi usioumiza kichwa soko liko wazi.
 
wadau naomba mwenye uzoefu wa kilimo hiki hasa kipindi cha masik. Nataka nianze mwezi wa kumi ili nivune kama mwez wa kwanza kipind mvua inapokuwa kali na nyanya kuwa adimu. Shamba lipo mbeya ukubwa wa eka mbili. Mtaji nataka niweke maziimum wa 3mil kwa eka zote mbili. Naomba mnisaidie challenge nitakazokutana nazo mbegu nitatumia anna f1

cc: Malila

mbeya sehemu gani mku?soko la nyanya na maeneo yakulima mbeya ni mazuri na soko lake ni nzuri huwez kuchemka kuhusu soko.kuhusu shamba andaa mbegu kwenye kitalu mwezi wa9 ili upande wamwezi 10 na kutoa wa kumi nambili mwishoni nasoko n nzuri sbb unakutana na xmass na mwakampya.pendekezo tumia mbegu aina ya eden usitumie ana f1.ana inakazikubwa sna kw shambakubwa.
 
kaka nataka nilimie itimba mbalizi njia panda unakata kushoto, barabara ya kuelekea chunya. sio mzoefu wa nyanya ila nilivutiwa na uzi mmoja unaelezea hii mbegu. naomba unisaidie uzur wa eden pia.
 
Eden ni kwa eka ni debe2400.

kaka nashukuru kwa ushauri, nilikuwa nimetarget anna sabab ya uzalishaj mkubwa, wenyewe wanakwambia ina uwezo wa kuzaa up to 35kg per plant wakat eden ni almost 5kg per plant, ila anna inaonekana kipind cha masika sio nzuri kivile wakat eden wanaipendekeza wenyewe kwa masika. naomba unisaidie kwenye challenge za anna sabab nimeipenda sana kwa uzalishaji wake na kama hata gharama ya kuitunza inakuwa kubwa lakin inaonekana inaweza leta faida ya kufa mtu. kulingana na ushauri wako imenibidi nighairi kupanda anna kwa eka mbili zote. naomba unisaidie matatizo ya anna hasa kwenye large scale production
 
kaka naomba usituchoke kwa maswali wengine ni vilaza kwenye hii fan njaa tu ndo inatusumbua.

km unalima maeneo makubwa usilime ana sbb kuu garama nakazi yake nikubwa sna,unahitaji vijana wakaz wakudumu,tofouti na eden haina kaz kubwa sna.ila ana inazao kubwa sna,,fanya hvi km unataka kulima eka3 fanya hvi lima eden eka2 na ana eka1.hapo unaweza kumanage shamba lako.mm hofu angu ww kuwa mgeni wa aina yakilimo unayotaka kufanya ndyo mana nakushauri eden kipindo hcho mvua haitakusumbua
 
nashukuru sana kaka, hata nitalima kwa kutumia vijana, tayari ninae mmoja ambae ndo anasimamia kilimo changu hao wengine lazima tu.
 
nashukuru sana kaka, hata nitalima kwa kutumia vijana, tayari ninae mmoja ambae ndo anasimamia kilimo changu hao wengine lazima tu.

Muhimu Kwa Zimgatia Dawa Sna Napia Kwa Maeneo Ya Mbeya Soko La Ana Cyo Nzuri Sna Ukilinganisha Na Eden Napia Ana Ganda Lake Cyo Gumu Sna Km Eden Kuharibika Haikawi Ndyo Mana Wateja Wengi Kwa Mbeya Haipendelei.
 
du hapi kwenye ugumu wa ganda ndio kikwazo
 
Habari JF Senior, nimeona ujumbe wako kuhusu ushauri wa kilimo, sisi Balton Tanzania ltd tunatoa huduma zifuatazo;
mbegu bora za nyanya inaitwa shanty F1,ina ngozi ngumu ambayo inaweza kukaa kwa mda mrefu baada ya kuvuna (shelf life). Pili kilimo unachotaka kufanya anza mwezi 8 au 9 ili uvune mwezi wa 11-3 kwa mbegu ya shanty F1, lakini ukitaka kilimo chenye tija zaidi nakushauri utumie drip irrigation ili ikusaidie wakat wa kipindi cha kiangazi (off season), nazo tunatoa kwanzia 250sqm mpaka 4000sqm(1acre) na bei zetu ni nafuu, kwa mazungumzo zaidi tuwasiliane kwa 0714 919019
 
drilling na kuvuna kipind cha mvua
Drilling
Inaweza kuchukua meter ngapi kwenda chinbi kuyapata maji kwa ardhi ya Mlandizi?

Kuvuna Mvua
Waweza kutumia chombo gani ili uweze kuvuna maji ya kutosha kumwagilia siku kadhaa? Tuseme kwa siku unatumia lita ngapi? na uwezo wa hicho kivunio ni lita ngapi?
 
habari jf senior, nimeona ujumbe wako kuhusu ushauri wa kilimo, sisi balton tanzania ltd tunatoa huduma zifuatazo;
mbegu bora za nyanya inaitwa shanty f1,ina ngozi ngumu ambayo inaweza kukaa kwa mda mrefu baada ya kuvuna (shelf life). Pili kilimo unachotaka kufanya anza mwezi 8 au 9 ili uvune mwezi wa 11-3 kwa mbegu ya shanty f1, lakini ukitaka kilimo chenye tija zaidi nakushauri utumie drip irrigation ili ikusaidie wakat wa kipindi cha kiangazi (off season), nazo tunatoa kwanzia 250sqm mpaka 4000sqm(1acre) na bei zetu ni nafuu, kwa mazungumzo zaidi tuwasiliane kwa 0714 919019

namba ya simu ya nn?weka bei hapa watu wote waone.na production yake vip
 
namba ya simu ya nn?weka bei hapa watu wote waone.na production yake vip

Dunia ina maajabu sana aisee. Yaani vitu vingi sana viko kinyume kinyume.
Anafanya Biashara ( Kalimati) badala ya kujitangaza, yeye anajificha jificha kwa kutumia namba za simu.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wa balton hapo ndipo mnatushangaza watanzania Mbona Amiran wa Kenya wameweka kila kitu wazi? Hadi biz plan ya green house na drip irrigation kwanini nyie mnafichaficha mambo? Kwani ukiweka kila kitu wazi watu tukafanya maamuzi kuna ubaya gani? Kampuni kubwa kama yenu yapaswa muweke mambo hadharani na siyo no za simu. Igeni wenzenu Amiran.

Gw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom