Kilimo cha mtama: Uzalishaji na soko

Habari wadau.
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mtama kwa mwenye uzoefu jinsi ya ukulima au upandaji,uzalishaji kwa ekari,uhakika wa soko na changamoto zake
Nimejaribu kupekua hapa na pale sioni habari zake kwa Tanzania na huku Tunduma hata sokoni hakuna anaeuza ingawa kwa Kenya na Ethiopia habari zake ni nyingi na pia inaonesha kuna soko tofauti na kwetu.Hata kwingineko duniani inaonekana ni kilimo kikubwa tofauti na bongo
Natamani kulima kibiashara lakini soko lake vipi kwa hapa bongo?
TANZANIA BREWERIES, wanao mpango wa kununua mtama ila unaingia mkataba nao , na wanakupa mbegu yao ambayo inatumika kutengeneza beer/ bia. Unaweza kuwasiliana nao kama uko DAR, na maeneo mengine yeney ofisi zao
 
Kuna shamba kama heka 10, nipo naliandaa, lengo ni kulima alizeti lakini kuna mtu (ye ni mkulima mzoefu kidogo) kanifuata na kunieleza kuhusu hili, kaniambia mbegu wanatoa wao na kununua watanunua wenyewe, hii nimeona kama ni nzuri maana unalima kitu wakati una uhakika wa soko, lakini bado sijashawishika kiivo maana sijajua bei zao ni kiasi gani. Naomba ushauri wako hapa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom