Wasukuma huko Mbeya na Songwe wanachukuliwa kama watu wa aina gani naomba ufafanuzi... isije kuwa mnawaona kama Aliens... Hilo kabila ni kubwa na halina jinsi zaidi ya kusambaa nchi nzima kuokoa mifugo yao na kumaintain status yao... nadhani wanaata shida sana kuhamia sehemu zingine kuishi na wajirani wapya hadi wazoeane huchukua muda sana... ila hubaguliwa kama walivyo Wapemba,Wamakonde,Wagogo,Wamasai na Wachagga yaani Makabila Mengi huwa hayajisikii salama 100% kama wakiishi na hayo Makabila baina...Hicho kiasi ni kwa ekari moja pia taratibu za umiliki unaponunua unahusisha uongozi wa kijiji kwani wanaouza ni wenyeji pia ikumbukwe hilo eneo lililuwa eneo la kuwindia wanyama hadi pale wafugaji wakisukuma walipofika eneo hilo na taratibu watu wakaanza kulima mpunga
ukitaka demu wako asimegwe?
Tarifa haijitoshelezi mkuu. Contact? na wapi?kwa anayependa kumiliki eneo lake kwa kilimo cha mpunga kwa bei isiyozidi laki mojaView attachment 351567View attachment 351567
nahitaji shamba huko unaweza nicheki kwa ajili ya kukodi nilime mboga mbogaHello...
Khabar zenu wapendwa..
Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..