Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,251
Hapo ni kama 500K, hujamwagilia, bado hujavuna usafiri na store. Bila kupata gunia 30 hapo ni kazi bure. Ukizingatia wakati wa mavuno being huwa chini.Hiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.
Ghara zao zipo hivi.
1. Kukodi shamba 120,000/= eka 1
2.kulima na kuotesha mbegu80,000/=
3. Kupandikiza60,000/=
4.palizi 60,000/=
5. Maji kumwagilia kila wiki 10,000/= mpk mpunga uchanue
6. Mbolea 54,000/=
7. Mfukuza ndege 60,000/=
8. Ukivuna ofisi ya mradi unalipia 50,000/=
Jumla tafuta mwenyewe hapo ila hazilipi kwa mkupuo