Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Mnaotaka kupanda miti ya mbao, mitiki, mikangazi au misederea na mingineyo. Msipande chini ya nafasi ya mita 3 kwa 3. Chini ya hapo miti haitonenepa labda kama mnataka kwa ajili ya biashara ya mirunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayehitaji Sungura Newzealand Rabbit na Dutch mixed breed kwa bei poa tu

#Inbox for more info
 
Naomba mawasiliano yako na pia nataka kujua kama unaweza kuniletea mbegu mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale
Ondoa hiyo mikorosho yote kisha lima kwa trekta hallow then tafuta miche ya mitiki upande 2.5metres apart&each. So kwenye ekari1 utakuwa na miche 640.
Ukitaka stamp za hii miche nitafute mimi kwa shehena yoyote ile bei sh 250 haipungui.
Kama upo ukanda wa pwani kipindi kizuri cha kupanda ni kuanzia 15th march.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, mimi mwenyewe nasubiri majibu ya kiundani zaidi kuhusu hiki kilimo cha mitiki.
Nataka nianze mchakato 2014, ili by 2035 nikiwa NIMESHAKUFA (au nikiwa bado niko hai at 60's) mwanangu aliye na miaka 3 sasa atakuwa ana 25 yrs (akiwa Chuo Kikuu akisomea masuala ya Public Administration, Bussiness Administration na/ au mambo mengine yanayofanana na hayo) ili akimaliza Chuo kikuu atumie hizo billioni kadhaa zitakazo kuwa zimetokana na mitiki kusimamia kazi zake kwa kuhakikisha anaajiri wataalamu watakaoendesha miradi yake kwa ufanisi.

.....Maige alisema wakati mahitaji ya mbao nchini kwa mwaka yanafikia meta za mraba milioni tano, uwezo wa mashamba yaliyopo ni kuzalisha meta za mraba milioni 1.5 tu. Alisema Sh milioni 40 zinatosha kuhudumia ekari moja ya shamba la mitiki kwa miaka 20, lakini mazao yake yakazalisha zaidi ya Sh bilioni 3. .......
Reference (March 2012): MOROGORO FAMILY - MOROGORO YETU: TANAPA 'YALIWA' KWENYE MAGOGO YA MITIKI.
Mkuu bado upo hai na ulifanikiwa kupanda by that time 2014
 
Huu Uzi ni wa 2010 naona mwenye Uzi arakuwa anakaribia umilionea kama alipamda.Mi nilipanda pien 2015.2018 ikaungua yote nikaambulia majivu.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Miche inapatikana kwa gharama ya shilingi 400 tu.
Tunapatikana Tumbi kibaha.
0766006128
0783579456
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom