Alex Katto
Senior Member
- Mar 3, 2013
- 155
- 20
Habar wadau nataka kununua heka tano tanga ili nipande miti ya mbao, msaada kwa mzoefu kuhusu mche bei gani, na baadae naweza kuuza bei gani na ni baada ya mda gani, na heka moja nitapanda miti mingp
Kuna jamaa anajiita Meshack Maganga-Iringa. amezungumzia sana kilimo cha miti. jarimu ku mgoogleKila kitu hapo juu kitategemea aina ya miti unayotaka kupanda na location unakonunua na kupanda. Kuhusu bei kuuza mazao ya miti, itaegemeana na mambo yanayoathiri soko wakat huo
Habar wadau nataka kununua heka tano tanga ili nipande miti ya mbao, msaada kwa mzoefu kuhusu mche bei gani, na baadae naweza kuuza bei gani na ni baada ya mda gani, na heka moja nitapanda miti mingp