Kilimo cha mboga mboga Kahama

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo,
1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama
2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je yanapatikana mwaka mzima
3) Vipi soko la mbogamboga na matunda kwa kahama likoje?
5) Je kuna mwamko wa vijana katika katika shughuli hii ?
 
Kilimo hichi kwa Kahama kinafanyika sehemu za manzese barabara ya kuelekea kakola na ni vijana wachache sana wamejiingiza kwenye kilimo hiki na soko lipo kubwa tu
 
Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo,
1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama
2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je yanapatikana mwaka mzima
3) Vipi soko la mbogamboga na matunda kwa kahama likoje?
5) Je kuna mwamko wa vijana katika katika shughuli hii ?
Nipo kahama.. Hata mie huwa naitaman hiyo biashara ya kilimo.. Kama unahitaji partner kwa hyo mishe.. Naomba tushirikiane..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom