monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,480
- 13,015
Nashukuru!
Fanya utafiti wa kutosha kuhusu soko la kuuzia na kipindi utakachovuna yatakua na bei nzuri? Kisha ufanye maamuzi ya kulima,Ushauri kutoka kwaMotivational SpeakersView attachment 1076936
mbinu za umwagiliaji ni zipi ukiacha ya matone.nb kila shimo unapanda mbegu 3 kila mche utatoa tunda kubwa 1 kwahiyo 1*3=3*300=900 roughly kila tunda uliuze 1000=900000
Mkuu umempa wazo zuri sana hili. Atafanya kazi bila stress na akiwa serious ndani ya mwaka atapiga hela sana.Nunua trekta ukapige vibarua, na utalima upendavyo wewe,
Endelea kuogopa. Mm nalima mboga kwenye makopo napiga hela kuxidi mshahara wa mhindiKilimo nakiogopa haswaaa
Kilimo nakiogopa haswaaa
Siku nikiamua kulima labda ntakua nalima mahindi kwa ajili ya mifugo yangu,la sivyo ni big NO.Kilimo nakiogopa haswaaa
Siku nikiamua kulima labda ntakua nalima mahindi kwa ajili ya mifugo yangu,la sivyo ni big NO.
Bora kua dalali wa mazao lkn sio mkulima hapa Bongo.
Yes kuna changamoto kwenye kilimo, nakushauri kwa sasa mambo si mabaya sana - tafuta ardhi ya pimisha udongo yaani PH ukimaliza weka taratibu upate HATI miliki. Hapo utakuwa umetumia 5m.Tena hao wachina nux sana best...mwaka 2016 walikuja kwa kasi kwa baadhi ya mikoa tukahamishwa tulime mihogo watanunua wenyewe..jaman km mihogo watu wakalima..ajabu wakawa wananunua kilo ya mhogo kwa shilingi100/=..!
haya kuna shirika nadhan base yake iko Njombe..wakasema tulime maharage meupe wananunua kilo 2000😂😂😂..kifupi tulikula maharage kila siku had yakaisha😂😂 sisahau hii mm!
Wakaja.wakasem tulimw pilipili zile mwendokasi watanunua kilo kwa 1500/ hakuna aloiza hata kilo 2...yaan ujinga tu
Tena hao wachina nux sana best...mwaka 2016 walikuja kwa kasi kwa baadhi ya mikoa tukahamishwa tulime mihogo watanunua wenyewe..jaman km mihogo watu wakalima..ajabu wakawa wananunua kilo ya mhogo kwa shilingi100/=..!
haya kuna shirika nadhan base yake iko Njombe..wakasema tulime maharage meupe wananunua kilo 2000..kifupi tulikula maharage kila siku had yakaisha sisahau hii mm!
Wakaja.wakasem tulimw pilipili zile mwendokasi watanunua kilo kwa 1500/ hakuna aloiza hata kilo 2...yaan ujinga tu
Habari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,
Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
Hahah mlikula maharage mpk mkaomba poooo,poleni mkuu.
Hata kule Handeni walihamasisha watu kulima mihogo balaa wakiambiwa wachina watanunua, lkn naona sa hivi wanaishia kuambiwa tu mhogo ni zao linavumulia ukame kwa hio kuanzia sasa wilaya yetu haitakua na balaa la njaa maana tuna akiba ya kutosha ya mihogo hahah.,wachina hawasikiki tena.