Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 405
Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.Jamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita