Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Jamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.
 
yana siku 33View attachment 864531
IMG_20180912_153028.jpg
IMG_20180912_153028.jpg
 
Wale wanaopenda kujiunga na whatsapp group la wakulima wa matikiti, fuata hiyo link kujiunga tafadhali.
 
Kama unajuana na wakenya wanao nunua tikiti tunaomba taarifa zao. Kuna ekari 5 zinavunwa mwezi huu wa kumi tarehe 15, njoo inbox unipe number zao na wewe utapewa shukran siku ya mauzo.
 
Naombeni kujua bajeti ya kuanzisha umwagiliaji kwa njia ya matone kwa shamba la matikiti la ekari 1
 

Similar Discussions

99 Reactions
Reply
Back
Top Bottom