TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,627
- 2,272
Gram ngap umepandaJamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
Nakushauri anzisha uzi wako kama tangazo hivi; ili watu wote waweze kuona tangazo lako ... maana hapa wengi tunaosoma ni wafatiliaji wa hii thread tuJamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
SawaNakushauri anzisha uzi wako kama tangazo hivi; ili watu wote waweze kuona tangazo lako ... maana hapa wengi tunaosoma ni wafatiliaji wa hii thread tu
RN Jr
njoo ujifunze shamban kwangu bureeee kutoka Dar hadi nlipo utatumia elf 5 kwenda na kurudView attachment 859316Haya mahesabu practically yanafanya kazi? Sijawahi lima matikiti Nataka nipande kama nusu eka ili nijifunze kwanza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa mwaliko Jenseny... Bila shaka nitatafuta wasaa nije kukutembelea... Hayo matikiti yapo vizuri.. Hongera sana.. Yana muda gani?njoo ujifunze shamban kwangu bureeee kutoka Dar hadi nlipo utatumia elf 5 kwenda na kurudView attachment 859316View attachment 859317
Kilimo kina faida na hasar niliuza viwanj kulima tikit mwaka huu mwez wa kwanza ila nilirowesha ekar mbil na gharama zilizo tumika km mil 3 LAK 4 na sikupata kitu na mwez wa tano nkalima yakaivia kwenye mafuriko nimeuza buku kwa jero hatari.Duu jomba iyo kilimo hacha kabisaa me nililima zebra f1 na juliana F1 kilichonikuta Nungu ndo anajua kidogo nikimbie mji mpaka leo nmeishiwa kila kitu kwenye biashara zangu na bado nadaiwa mkopo mkuu usipeleke hela ya mkopo shambani utafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Keep it up, pambana mwanzo mwisho. Mbona umetumia gharama kubwa ivo...?Kilimo kina faida na hasar niliuza viwanj kulima tikit mwaka huu mwez wa kwanza ila nilirowesha ekar mbil na gharama zilizo tumika km mil 3 LAK 4 na sikupata kitu na mwez wa tano nkalima yakaivia kwenye mafuriko nimeuza buku kwa jero hatar
Na sijakata tamaa nshaanda shamba nshalima nataka kueka samad tareh 15 mwez huu napnda et
Sikatii tamaa one day yes I believeKeep it up, pambana mwanzo mwisho. Mbona umetumia gharama kubwa ivo...?
Wazo zur Mimi naanzisha na wewe sawa watakao penda pia watufuateWana jamii mi nadhan kama kuna mtu yeyote amejiunga na ma group ya kilimo wats ap ani add kwa namba hii 0717113999 na kama hamna vp kama tutaanzisha group itakua rahs zaid kusaidiana na kupata changamoto na mafunzo meng zaid kwa haraka kuliko hapa... Ni ushaur tu wanajamii
Siyo hapa, sema tukutumie pm au weka namba yako tukutumie huko.Weka namba yako tuku ad