gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Umetumia mbegu gani?
Mwaka wangu wa kwanza kufanya kilimo hiki am done na nilishasukuma mzigo
Umetumia mbegu gani?
Mwaka wangu wa kwanza kufanya kilimo hiki am done na nilishasukuma mzigo
Umetumia mbegu gani?
Mkuu kama unaweza tafuta soko kenya yatakulipa vizuri sana mimi mzigo wangu niliuza kwa jamaa mmoja wa kenya alikuwa anaexportWadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .
Bahati mbaya namba yake sina mkuu juzi nimempa mtu simu aka-format kila kitu accidentally. Ila nitajaribu kukutafutia tuoneMkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..Mkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla.Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
Nafikiri ni sababu hamna juice za tikiti za viwandani kwahio ndio mana inabidi kupambana tu na madalali wa sokoni.Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Ukilinganisha na gharama ya kulima, kwa bei liyouza umepata faida?Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Ndiyo nimepata faida 200/100Ukilinganisha na gharama ya kulima, kwa bei liyouza umepata faida?
Wakati tikiti linatoa maua, ni Mbolea gani rafiki?Umetumia mbegu gani?
Tumia mbolea ya vegimax ambayo ni foliar vertilizer ambayo ni vizuri kuchanganya na dudumecting kuzuia wadudu wanaoharibu matunda machanga.Wakati tikiti linatoa maua, ni Mbolea gani rafiki?
Naiomba hiyo manake pia mimi npo dodomaNinayo business plan ya kilimo cha water melon!.. Ila iko planed zaidi kwa infrastructure za Dodoma cjui kama itakufaa!..
Naomba hiyo plan mkuu nione kama itafaa maeneo ya moshi.Naiomba hiyo manake pia mimi npo dodoma
Bado unayo matikitiWadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .