Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

f6857b56d3307f638852746a2b9e45a7.jpg

Mwaka wangu wa kwanza kufanya kilimo hiki am done na nilishasukuma mzigo
Umetumia mbegu gani?
 
Wadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .
 
Mkuu kama unaweza tafuta soko kenya yatakulipa vizuri sana mimi mzigo wangu niliuza kwa jamaa mmoja wa kenya alikuwa anaexport
 
Mkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
Bahati mbaya namba yake sina mkuu juzi nimempa mtu simu aka-format kila kitu accidentally. Ila nitajaribu kukutafutia tuone
 
Mkuu asante ila jioni ya leo kuna dalali mmoja kanitumia sms kwamba yeye ana mteja ila bei ni tsh 350/= kwa kilo ,naomba ushauri kwa uzoefu wako mkuu
 
Mkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
 
Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla.

Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana.

Nafikiri tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
 
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Nafikiri ni sababu hamna juice za tikiti za viwandani kwahio ndio mana inabidi kupambana tu na madalali wa sokoni.

Serikali inaweza ti mkono wake au pia wakulima kuunda taasisi au chama cha walima tikiti ili waweze kupaza sauti zao. Tikiti ni zao la gharama sana lakini usipoangalia unaweza usipate return kwa gharama hio.

Sasa tikiti la kilo 5 kuuza sh2000 nafikiri sio sawa

Asha
 
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Ukilinganisha na gharama ya kulima, kwa bei liyouza umepata faida?
 
Wadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .
Bado unayo matikiti
 
Wadau habar, nina tikit-imaji ambazo zitakuwa tayar (1 acre) kuvunwa kwanzia wiki ya pili ya mwezi wa 10,naomba wadau wa masoko tafadhali.

Mzigo upo Vikindu. Mawasiliano 0714-087253 & 0784-429215 Karibuni Sana.
 
Similar Discussions

99 Reactions
Reply
Back
Top Bottom