Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Kuna mbegu nyingi zilizofanyiwa utafiti duniani kama F1 Hybrid Taiwan Princess mbegu hii sio genetic kwahiyo inaweza kulimwa nchini na ni nzuri kwasababu shelf time yake ni kubwa kulinganisha na papai zetu za kienyeji na zinaweza kuuuzika nje ya nchi (Ideal for export)

Inapatikana wapi? hiyo mifupi iliyofungashia sijawahi kuiona mimi
 
Malila,

Tunaomba habari za kilimo cha mapapai na upatikanaji wa mbegu

Aliye karibu na kibiti atusaidie kuulizia kwa jamaa wenye kitalu cha miti (ulizia Mr Mapesa), niliwahi kutembelea nikapewa mbili tatu kuhusu mapapai nikaahidi kurudi kupata hilo somo bahati mbaya mda umebana
 
Kuna duka nimeelekezwa Morogoro mjini stand linaitwa kwa KV nimeambiwa hizi mbegu zipo ntapita kuzicheki next week
 
WanaJV naomba msaada wenu wapi naweza kupata mbegu za mapapai zinazoota kwa miezi mitatu na zinakuwa na mapapai mengi
Mimi nipo Dar Natanguliza shukurani
 
Morogoro stand kuna duka linaitwa kwa KV wanazo hizo mbegu kwa Dar sifahamu
 
Mkuu taasisi ya utafiti wa Kilimo-Mikocheni wana shamba liko Bagamoyo, ukiwasiliana nao wanaweza kutatua tatizo lako
 
Wakuu sisi kama vijana wenye nia ya kufanikiwa kimaisha katika kujiajiri!!
Moja ya miradi tuliyoifikiria ni kilimo cha papai...

Kwa mwenye uzoefu na hiki kilimo, nini changamoto zake hasa kwenye masoko?

NB: Tumepanga kuanza na mipapai 200-300 ambayo itakuwa kwenye shamba la eka moja na mahali ni wilayani Kyela mkoa wa Mbeya!!

Natanguliza shukrani!!
 
Mkuu unatakiwa wewe mwenyewe kufanya Tafiti Huko unako taka kulima make wewe ndo uko huko Kyela, ila kwa ujmula ni kilom kizuri kwa sababu unaweza lima na ku process na kuuza Juice, ingawa hata utonvu wake una soko kubwa sana huko nje, but unatakiwa kuanza kwa kucheki soko huko kyela au Mbaya mjini, Ila Papai hazipendi Baridi kabisa, na that is why zinastawi vizuri maeneo ya pwani, au centra zone na kanda ya ziwa huwa hazitaki kusikia kitu baridi make zenyewe ni rafiki wa joto
 
Mkuu Kyela ina hali ya joto kama pwani...nashukuru umenifungua macho kwenye hili la utomvu pia uwezekano wa kupack juice!!

ubarikiwe!!
 
mkuu ... papai mbichi inatumika kutengeneza kimeng'enyo cha kulainishia nyama (marination) kwa ajili ya ku roast, grill or fry.... nadhani ukitengeneza local marination product ukaiwekea ndimu ya kienyeji, mbilimbi na embe na ufanya packaging nzuri utauza ....

More important is to keep all ingridients organically cultivated

I wish you all the best
 
shukrani mkuu angalau naanza kupata uelewa mpana wa haya matunda!!
 
Naomba kuuliza

Mbegu za mapapai ambayo ya kibiashara naweza kupata wapi nipo Dsm ?

Mpapai unachukua muda gani hadi kukuwa na kuzaa mapapai ya kula?

Kwenye heka moja naweza kupanda miche mingapi?

Kipindi gani ni muafaka kwa kupanda mapapai?

Je kipi zaidi natakiwa nikijue kuhusu mipapai?

Maana shambani kwangu huwa nakuta inajiotea tu wakati mwengine nadhani nikiweka effort naweza kupata kitu.
 
mbegu bora za mapapai hazipatikani madukani mkuu, nataka na mimi nijiunge katika kilimo hicho cha mapapai..
Naona upo kimya mkuu ila ningekushauri utafute mbegu ambayo inavumilia kupata ugongwa hasa wa virus wanaoitwa rig worms, kama ni kwa biashara tafuta mipapai inayozaa mapapai mengi ili ikupatie mapapai 3 kwa wiki kila mche mmoja i.e 3 papaya per tree assume you have 2000 trees you will have 6000 papaya uza bei ya chini shs 300 kwa papaya moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom