Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Bado hujanishawishi kuhusu soko la papai, papai iliyokomaa ikishachumwa inakaa si zaidi ya siku 3 ama 4 inakuwa ishaiva kabisa hasa kwa joto let say la hapa Dar.

Sasa kama umevuna papai 10,000 kwa siku na unategemea local market - lazima yakuozee sokoni...

Soko ni changamoto haikwepeki.
Si wataalamu wanadai hizo papai zinadumu zaidi ya wiki sio kama ya kienyeji.
 
Wakuu sisi kama vijana wenye nia ya kufanikiwa kimaisha katika kujiajiri!!
Moja ya miradi tuliyoifikiria ni kilimo cha papai...

Kwa mwenye uzoefu na hiki kilimo, nini changamoto zake hasa kwenye masoko?

NB: Tumepanga kuanza na mipapai 200-300 ambayo itakuwa kwenye shamba la eka moja na mahali ni wilayani Kyela mkoa wa Mbeya!!

Natanguliza shukrani!!
Mapapai hayataki maji mengi muwe makini na vipindi vya mvua nyingi huko Kyela!
 
Kilimo cha papai kimenifikisha mbali, napiga hela zangu taratibuView attachment 2508460View attachment 2508461
IMG_20220601_155854_869.jpg
 
Bado hujanishawishi kuhusu soko la papai, papai iliyokomaa ikishachumwa inakaa si zaidi ya siku 3 ama 4 inakuwa ishaiva kabisa hasa kwa joto let say la hapa Dar.

Sasa kama umevuna papai 10,000 kwa siku na unategemea local market - lazima yakuozee sokoni...

Soko ni changamoto haikwepeki.
Ukiwekeza zaidi hakikisha una nyingi za kuuzia, mostly wadau waliowekeza sana nimewaona wametumia njia za kulink na madalali na mahotel at the same time, mzigo hufuatwa na wahusika shambani
 
Jamani mimi pia natafuta mbegu za papai (mbegu bora) ili nifulie mwenyewe. Niliambiwa ninunue miche ile gharama ni kubwa. Pia nilitaka nikamue kutoka kwenye papai ila mavuno nimesikia sio kama ya mbegu bora. Tafadhali kama kuna mtu anazo mbegu ama anamfaham mtu mwenye anauza mbegu. Tafadhali ni connect nae.
Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom