kilimo cha mananasi

hlary junior

Member
Aug 28, 2013
22
0
jamani naombeni mnipe mwongozo nataka kuanza kulima mananasi maeneo ya kiwangwa kati ya bagamoyo na msata kwa hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anajishughulisha na huo mradi anishirikishe kuanzia gharama ya kupata shmba la ukubwa wa ekari moja kwani kiwango changu cha pesa ni kidogo kwa hivyo nataka kupata shmba la gharama ndogo as possible na gharama za kuandaa mpaka kupanda pmja na bei ya mbegu na kadhalika naombeni msaada wa mawazo mawasiliano yangu ni 0755966673 na email ni hmafole@gmail.com
 
Kaka ukipata information naomba unishirikishe mana sote tunamtaji mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom