KILIMO CHA MAKARATASI: Maduhuli

Kilimo hiki cha makaratasi

  • Kinalipa

    Votes: 0 0.0%
  • Ndoto za Alinacha

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • This poll will close: .
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
594
Points
500
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
594 500
Pana ujumbe ulisambaa mitandao ya jamii kuhusu "Kilimo Cha Makaratasi" ambavyo unalima na kupata faida kufru... kwenye makaratasi... ambayo si lazima iende na uhalisia.

Hiki hapa "Kilimo Cha Makaratasi" kingine ;)

1. Tanzania ina ardhi yenye ukubwa wa km za mraba 945,087.

2. 945,087 km za mraba ni sawa na mita za mraba 945,087,000,000 (mita za mraba bilioni 945).

3. Kama kila mita ya mraba italipiwa shilingi ishirini kwa mwaka, maduhuli yatakayopatikana ni Shilingi trilioni 18.90 KWA MWAKA.

Yaani tunaweza kulipa deni lote la taifa ndani ya miaka miwili mitatu kutoka kwenye maduhuli ya kodi ya ardhi tu...

Basi tuseme tukiweka vigezo vyote vya uhalisia tutapata, 45%, famililah! trilioni nane na nusu si haba ati! Zinaweza kutatua matatizo madogomadogo ya kitaifa.
 

Forum statistics

Threads 1,307,076
Members 502,332
Posts 31,600,955
Top