Kilimo cha maharage ya njano

doctordrew

Member
Apr 26, 2020
63
29
Habari wakuu?

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Arusha lakini napenda kujihusisha sana na kilimo. Ni wapi mkoa wa Arusha naweza kufanya kilimo cha umwagiliaji cha maharage ya njano?

Kwenye mashamba ya kukodisha. Yeyote mwenye kujua vizuri naomba nipe details.
 
Navyofahamu ni wilaya ya simanjiro ndio wanalima kwa wingi mashamba yapo ya kununua na mengine ya kukodisha hakuna kilimo cha umwagiliaji watu hutegemea mvua.
 
Msimu wa kuanza kupanda maharage ya njano ni mwezi gani?
huwa inategemeana na mvua wenginr wanapandaga kipindi cha vuli kama mvua za mwaka jana na wakavuna vzr, wengine wanapanda masika ambapo ni uhakika zaidi. vuli huwa wanapanda mwezi wa 10 mwishoni au 11 mwanzoni kutegemeana na mvua ila kipindi cha masika huwa wanapanda mwezi wa 3
 
Back
Top Bottom