Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Sie tulkua tunaita vinazi umenkumbusha tengeruuu(taasisi flan Iv ya kilimo tulkua tnaenda kuiba kwenye shamba lao
Ili tunda lilkua maaruf sana kwa watt wa tengeru primary
Ni kweli kwakuwa zinastawi sehemu za baridi na asili yake ni ujerumani
 
Ni kama tunda nyama yake ya ndani kama nazi
b0ff63692f09cf8e3f406352dc780c8a.jpg
Ok mkuu .....jina hili "kadamia" ni kiswahili au?
Kama siyo kwa kizungu unaitwaje au scientific name ya huu mmea
 
kwel ase watu wamekata san iyo miti nowadays hakuna kabisa na watot hawachezeiii
 
Tulikua tunaita 'karanga mti' maana zinakua na mti na ladha ya karanga/nazi... Mti wake unakua una miba hivi hivyo ni malazi mazuri ya ndege wadogo, wakati naishi Mbinga ulikuepo katika eneo la nyumba yetu. Ila leo ndo najua waitwa 'kadamia'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom