Sijui ntapataje jina lake la kisayansi?Ndiyo poti
halafu mrisho Mpoto yuko kwenye lile kundi linalozunguka kuzungumzia uzalendo wakati yeye mwenyewe sio mzalendoFunguka zaidi mkuu kuhusu ili zao,
Alafu hao wa kenya waache ungesengese wao wa kulalamika mbona wao wanatorosha tanzanite yetu na wanaipa nembo yao?na mpaka wamemtorosha MRISHO MPOTO wetu sasa wanamtumia kule kwa obama kama muwakilishi wao wa kiswahili?
Mojawapo common Macadamia integrifoliaSijui ntapataje jina lake la kisayansi?
Hapo Mkoa wa Kagera inawahusuMacadamia inatoa mbegu za mafuta kama ilivyo korosho. Hizo mbegu zinahitajika sana kwa watengenezaji wa chocolate vile vile unaweza kukamua mafuta na ubora wake ni sawa na mafuta ya mizeituni (olive oil). Bei ya Roasted and salted Macadamia Nuts kule Australia naona ni $18. Kule Kenya naona wanalamika utoroshwaji wa Macadamia kuja Tanzania kutayarishwa kwa kusafirisha nje.
Upekuzi zaidi unasema macadamia yanastawi sehemu ambazo avocado, mapapai, na ndizi hustawi. Wakulima wengi wa kenya wanang'oa kahawa ili kupanda macadamia.
Naomba namba ya huyo mhusika natamani kulima zao hiliHatimaye nimempata mhusika wa hii kitu, hawa jamaa wana miche kule Mbozi, kila mche ni Tsh 4,000/, miche hii ni grafted na inatazamiwa kuzaa baada ya miaka minne tangu kuoteshwa. Wao wanachukua vikonyo kule Rungwe juu kwa yule jamaa wa parachichi.
Simu kanipa, ila ukitaka njoo pm, si vizuri kuweka public.
Mimi nimechukua miche michache kwa ajiri ya kujaribu kwenye maeneo ya kisarawe.
Macadamia (Karanga za mtini) 100grm - Tshs 21,000 Village supermarket
angalia inboxNaomba namba ya huyo mhusika natamani kulima zao hili