Kilimo cha Macadamia (karanga pori) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha Macadamia (karanga pori)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Ntemi Kazwile, Jan 17, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau,

  Kuna fursa kubwa kwenye kilimo cha matunda especially kwa nchi yetu ambayo ina ardhi nzuri na ambayo inafaa kwa mazao mengi.

  Zao la Macadamia ni miongoni mwa mazao ya muda mrefu ambalo linaweza kubadirisha kilimo cha Tanzania, kwa sasa kuna mtaalamu ambaye ana kitalu cha miche ya macadamia (mche mmoja unauzwa shs 2,000) macadamia inaweza kustawi vizuri kwenye sehemu za baridi lakini siyo baridi sana hivyo kilolo, ifakara, morogoro, arusha, lushoto inaweza kustawi kwa uzuri zaidi.
  Mimi nimechukua miche michache kwa ajiri ya kujaribu kwenye maeneo ya kisarawe.


  Unaweza pia kupata taarifa zaidi hapa: http://www.agroforestry.net/scps/Macadamia_specialty_crop.pdf
   
 2. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  macadamia ni matunda gani hayo na matumizi yake?
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni aina furani ya karanga, fungua hiyo attachment utapata maelezo mazuri zaidi
   
 4. K

  KVM JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  WanaJF naomba mwenye uelewa wowote wa kilimo ch Macadamia anijuze. Najua kuwa ni zao ambalo bei yake ni nzuri kutosha. Mara ya mwisho nilizungumza na dada mmoja akaniambia kuwa kule Lushoto kuna watu wanalima hilo zao. hakuweza kunipa taarifa kwa kina cha kutosha.

  Zao hili lipo Tanzania? Hali gani ya ardi inahitajika? Najua Kenya wanafanya export ya zaidi ya USD120m kwa mwaka.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu asante kwa taarifa,

  macadamia ndio nini kwa kiswahili?
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Hiyo ndo Macadamia
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Komandoo, funguka kwa hii kitu inaonekana una uelewa wa kutosha.
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Mkuu bado umeniacha mbali sana picha hazijanisaidia hata kidogo.


   
 9. m

  muhinda JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
 10. K

  KVM JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Macadamia inatoa mbegu za mafuta kama ilivyo korosho. Hizo mbegu zinahitajika sana kwa watengenezaji wa chocolate vile vile unaweza kukamua mafuta na ubora wake ni sawa na mafuta ya mizeituni (olive oil). Bei ya Roasted and salted Macadamia Nuts kule Australia naona ni $18. Kule Kenya naona wanalamika utoroshwaji wa Macadamia kuja Tanzania kutayarishwa kwa kusafirisha nje.

  Upekuzi zaidi unasema macadamia yanastawi sehemu ambazo avocado, mapapai, na ndizi hustawi. Wakulima wengi wa kenya wanang'oa kahawa ili kupanda macadamia.
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Funguka zaidi mkuu kuhusu ili zao,
  Alafu hao wa kenya waache ungesengese wao wa kulalamika mbona wao wanatorosha tanzanite yetu na wanaipa nembo yao?na mpaka wamemtorosha MRISHO MPOTO wetu sasa wanamtumia kule kwa obama kama muwakilishi wao wa kiswahili?
   
 12. m

  muhinda JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  I am interested kujua ili zao linachukua mda gani mpaka kuvuna?
   
 13. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 14. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Macadamias are tricky to grow, but they are proving to be a lifeline for black farmers in South Africa.

  Do you know why macadamia nuts are so expensive? It is because it takes five to 12 years for a macadamia tree to produce nuts (a good tree will still be producing nuts 40 years on); and the shell is damned hard to crack – so hard that it will break domestic nutcrackers. The first commercial orchard of macadamia trees, which are native to Australia, was planted in the early 1880s in New South Wales. Australia is still the world's largest producer of macadamias, accounting for more than 40 per cent of world exports. Other leading producers are South Africa and Hawaii. Bush pigs are among the few animals with jaws strong enough to crack the nuts; monkeys simply eat them from the tree when the shells are soft. But we humans, it transpires, require cracking factories. The other obstacle is that harvesting, which takes place in late autumn to spring, is typically done by hand, and pickers have to wait until ripe nuts fall to the floor. Mechanised shaking machines (used for pecans and almonds, for example), which dislodge nuts from the tree to speed up the process, cannot be used with macadamias, as the nuts mature on the tree at different rates. So first the macadamia nuts are husked (like coconuts, the nut is encased within two layers) and then air-dried in the shade for at least two weeks to reduce the moisture content and allow the natural oil to develop. Once the nuts are in the cracking factory, the challenge is getting them out whole, which involves careful drying at 40-43C to further reduce the moisture content, making the shell brittle and easier to crack.

  Finally, the nuts are sorted into 'styles' or grades of quality. 'Style 4' is broken pieces and 'style 0' is the premium: glistening and ivory-coloured, big like a brazil nut, but somehow a more satisfying mouthful to crunch. Macadamia nuts are high in fat – up to 80 per cent oil – but it is the right sort, and they are a good source of protein and fibre.  Yataka moyo, soma zaidi hapa: Macadamia nuts are a lifeline for black farmers in South Africa - Telegraph
   
 15. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lushoto, Wanalima sana, fika Sakharani Mission, Utapata kila unachohitaji.
   
 16. M

  Malila JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Utasaidia sana kama utatoa maelezo yenye majibu ya maswali yafuatayo.

  Wanalima kwa scale gani? ( holela au estate)
  wanauza wapi mavuno yao?
  Je miche ya macadamia wanapata wapi?
  Wakulima wana mafanikio yo yote kupitia zao hili?

  vaveja sana.
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naomba lete details zake.
   
 18. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwa muda huu nipo mjini Dar natafuta mtu lushoto anipe taarifa zaidi, , Ila Sakharani Mission, ipo chini ya Benedictine Abbey Missionary, (NMakao Makuu Ndanda Mission) , S.L.P. 40, Lushoto. Tanga.
  Hawa wa Misionari wana shamba la Macadamia, na wanauza hata mafuta yake, Kwa Dar es Salaam, Macadamia nuts hua zipo Oysterbay Shopping Centre, kuna mtu anauza kilo moja shillingi elfu nne. lakini upatikanaji wake sio mkubwa sana.
   
 19. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ABOUT 150 km from the port of Tanga is Sakharani Farm in the Usambara Mountains. In 1946, the community in Ndanda bought a reasonably large portion of land in this area from an Englishman. This land was to be used for agricultural purposes. Its altitude of 1300m makes Sakharani suitable for growing different kinds of plants, namely: quinine trees, macadamia nuts, coffee, bananas and grapes. All these activities provide employment for many people. The community consists of about five confreres who, apart from farm work, engage themselves in pastoral work in the parishes of Sakharani, Soni and the surrounding outstations. Other activities include a small auto workshop, carpentry and gardening. Sakharani is also used as a rest house for many visitors as well as a meeting point for the young people who show an interest in joining the community in Ndanda. For more about Sakharani click here.
  AddressBenedictine Community,SakharaniP.O. Box 40, SoniLushoto Tanzania​
   
 20. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
Loading...