Kilimo cha kutegemea mvua; Viable business au bahati Nasibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha kutegemea mvua; Viable business au bahati Nasibu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by VoiceOfReason, Jul 3, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wakuu kila biashara ina risk.., na wote tunajua kwamba uwezekano wa kulima na mvua kutonyesha ni mdogo sana na ukilima mara tatu atleast mvua itanyesha mara zote tatu au mbili na utapata faida na mazao ya kutosha

  Kuna Jamaa yangu ninamjua yupo Manyara huwa kila mwaka anakodisha mashamba na kulima Alizeti, mahindi n.k. na huwa anaspend kama 4m na returns yake huwa ni kubwa sana hata kama mvua isiponyesha faida aliyopata mwaka jana inacover hasara zote ambazo huenda zikapatikana mwaka huu

  Ila same place kuna story nimesikia jamaa alikopa Benki 60m akakodisha shamba na wafanyakazi wakalima maindi yakachipua kidogo na kuharibika baada ya kuona hivyo akafyeka kila kitu akaanza upya (same thing happened) na huyu jamaa kutoka kwenye zile 60m hakupata kitu chochote.(wasted time as well as 60m)

  Conclusion:
  Huenda kwa mtaji wa 4m mpaka 15m huenda hii ikawa biashara ya maana lakini zaidi ya hapo Risk inakuwa kubwa zaidi Hence Bahati Nasibu, Its not calculated risk kutumia 60m kwa jambo ambalo linategemea unknown factor ili lifanilkiwe, huenda its more calculated kutumia the same amount kwa kununua mazao kijijini na kuja kuyauza mjini at a profit... au wadau mnasemaje?
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu Voice hii tred yako sijaielewa leongo lako ni kufahamisha jamii au kumkandya jamaa yako kwamaono yangu haijakaa sawa kama unamanisha kushauri wakulima wasitumie kilimo chakizamani kutegemea mvua . wabadili nakutumia kilimo cha umwagiliaji kama ndio lengo lako ipitie tena na urkebishe mana imekaa ndivyo sivyo inakuwa kama unamuona jamaa mjinga lakini sivyo huyo kakosea hesabutu siuzuri kumuona mjinga hakuwa bahati kama ni jamaa yako mpeushauri ili asiwe kwenye matatizo hebusheki katika sehemu niliyoweka wekundu.

   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa hatuko kwenye kuchekana mimi nimepose swali kuhusu validity ya kilimo cha kutegemea unknown factor (mvua).., Sasa ndio maana nikatoa mfano wa mtu ambae investment yake huwa ni 4m kila mwaka kutokana na risk iliyopo hata kama hasipopata mazao atakuwa ameloose 4m na hii itakuwa rahisi kuirecover kama mwaka unaofuata atalima tena yaani faida ya mwaka mmoja itaka-cover hasara zote; lakini ukiweka mtaji mkubwa kwenye kitu hata ambacho kina uwezo wa 10% tu kutokufanikiwa hii itakuwa sio calulated risk na huenda ikakufanya ukawa masikini wa maisha bila kuweza ku-recover tena.

  Kushauri watu walime kilimo cha umwagiliaji sio rahisi kwa sababu ya investment ni kubwa kwa mtu wa kawaida..., hapa swali ninalouliza labda kwenye kilimo hiki watu tuweke mtaji kidogo ambao hata usipofanikiwa iwe rahisi ku-recover...

  NB
  Jamaa yangu ni yule ambae kila mwaka anaweka kama 4m analima alizeti, mahindi, ngano, n.k. na anafanya vema sana..., Kuhusu huyu jamaa wa 60m nimesema kuna story nimesikia; huyu simjui, kwahiyo hii post ni kama kuwataarifu watu wengine wasije kuingia tatizo kama lililompata huyu jamaa (be carefully and take calculated risks, sababu hatujui huenda jamaa aliweka nyumba yake kama collateral ili apate mkopo).
   
 4. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  VoiceOfReason Hapa mkuu umeeleweka mana umeweka wazi lakini hapo mwanzo ningum sana kwa msomaji kufaham lengo lako. mkuu wakulima kubadili njia ya kilimo ni wao wenyewe hataki kuliona badiliko lakilimo lakini kwakusema gharama ni kubwa sio kiasi hicho mm ni mkulima na kijishmaba changu hapo moro nilikuwa nafikra kama hizo. lakini nilifatilia tred za mkuu Malila na kuamua kuingia uwanjani mbona nilijikuta nikifanya mambo kirahisi kabisa kikubwa mkuu ni umoja wakulima washirikiane kutengeneza mifereji ya maji badala ya kungoja serikali kutafuta msaada wa watu wa Marekani mm nilinunua machine yamaji ya kichina huko mwanza kwa laki tatu yenye uwezo wa kusukuma galoni 1100 kwa dakika na inauwezo wakuvuta 100ft kwa bei hiyo ndomana nasema wenyewe hawaykubali mabadiliko yaliyopo kwa sasa kilimo cha kurisi kwamababu zetu hakilipi tena lazima wabadilike.

  NB
  Jamaa yangu ni yule ambae kila mwaka anaweka kama 4m analima alizeti, mahindi, ngano, n.k. na anafanya vema sana..., Kuhusu huyu jamaa wa 60m nimesema kuna story nimesikia; huyu simjui, kwahiyo hii post ni kama kuwataarifu watu wengine wasije kuingia tatizo kama lililompata huyu jamaa (be carefully and take calculated risks, sababu hatujui huenda jamaa aliweka nyumba yake kama collateral ili apate mkopo).[/QUOTE]
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kilimo cha kumwagilizia kinafaa zaidi na pia hapa mtu unaweza kulima mwaka mzima; lakini mkuu hata kumwagilizia inategemea chanzo cha maji kipo umbali gani na mtu unazo hekari kiasi gani, Kwa wazo la kushirikiana ni wazo zuri sababu ile cost ya mwanzo inapungua.

  Ndio maana nikasema kuna watu ambao wanaweka kama 4m kila mwaka na kutegemea mvua wanajikuta wanapata profit ya kutosha na dhumuni la kuweka hii post ni kuonyesha kwamba ingawa kuna wale wanaopata faida kila mwaka kwa kukodi mashamba na kupata mazao mazuri, lakini pia kuna upande wa pili ambao unaweza kujikuta umepoteza kila kitu. By the way Hongera kwa kujikomboa na kuanza kilimo cha umwagiliaji
   
Loading...