Kilimo cha korosho


Timtim

Timtim

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
606
Likes
66
Points
45
Timtim

Timtim

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2008
606 66 45
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu.
 
C

cha'

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
471
Likes
5
Points
35
C

cha'

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
471 5 35
Hii kitu hii!
Wameacha kukopa, kulipwa hela nusu, nyingine mpaka wakauze mzigo india?
Mikorosho mizuri mbegu za india, inakua mifupi kama miembe ya kisasa, inazaa baada ya miaka 3, mazao yanaongezeka kadri ya matunzo na muda.
 

Forum statistics

Threads 1,262,752
Members 485,679
Posts 30,132,037