chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,689
- 22,703
Aisee! Mkuu nimewahi kutumia pump kila mara napeleka kwa mafundi kutengeneza starter, mara inalika inakwisha , yani kazi kweli!ukitumia Starter yake uwa inasumbua mara kwa mara kupeleka kwa fundi,
ndio maana nimeitoa ikabaki uchi.
ila natumia kamaba ngumu one kick inawaka.
pia ukiwa na 3.5 amabayo ni nch 2 pipe inafanya ila pasiwe na mlima mkali kutoka kwenye chanzo.
na pia ukitaka ku systim mafundi watakuelekeza pump yakutumia kutokana na eneo unalo tumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu unaweza kunipa mbadala wa kutumia bila starter?
Samahani kwa kutoka nje ya mjadala mkuu.
Asante