Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Mdingi wako si ndio mganga wangu kakudokoleza.nn umejuajeee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Iliki ya kijani??!!, wewe ndiye mtu wa kwanza duniani kutaka iliki ya kijani.

Ushauri:- chukua mbegu za iliki tafuta shamba upande na kabla hazija komaa (bado zikiwa kijani) vuna.

Lakini ukitaka mkulima akulimie iliki ya kijani hiyo ni "uphill task", na hilo sharti la kupata utajiri kutoka kwa huyo mganga wako ni gumu.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ndugi yangu acha ushamba iliki za kijani zipo na nyingi zao hutoka india ila nimesikia tanzania wameanza kulima na wao na kama hujii iliki kijani ina bei kubwa kushinda hii ya kawaida
 
Milima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima. Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
Kwenye hekari moja unaweza kuzalisha kiasi gani?
 
Ku
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja

Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero

Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko

Sent from my SM using Tapatalk
Kule Kagera naona wamekoma kulima baada ya kukosa soko.
 
Ndugi yangu acha ushamba iliki za kijani zipo na nyingi zao hutoka india ila nimesikia tanzania wameanza kulima na wao na kama hujii iliki kijani ina bei kubwa kushinda hii ya kawaida

unaniita mshamba !!?,je, umeanza matusi?!๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
mkuu nisaidie na mimi kizuri kula na mwenzio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom