Wakuu mm nahitaji iliki ya kijani jee nitapataje
Mdingi wako si ndio mganga wangu kakudokoleza.nn umejuajeee๐๐๐๐๐Wewe umetumwa na mganga?!!๐
Mdingi wako si ndio mganga wangu kakudokoleza.nn umejuajeee๐๐๐๐๐
Iliki za Kijani zinapatikana Misalai ni kwenye milima ya Muheza TangaMdingi wako si ndio mganga wangu kakudokoleza.nn umejuajeee๐๐๐๐๐
Iliki za Kijani zinapatikana Misalai ni kwenye milima ya Muheza Tanga
Ndugi yangu acha ushamba iliki za kijani zipo na nyingi zao hutoka india ila nimesikia tanzania wameanza kulima na wao na kama hujii iliki kijani ina bei kubwa kushinda hii ya kawaidaIliki ya kijani??!!, wewe ndiye mtu wa kwanza duniani kutaka iliki ya kijani.
Ushauri:- chukua mbegu za iliki tafuta shamba upande na kabla hazija komaa (bado zikiwa kijani) vuna.
Lakini ukitaka mkulima akulimie iliki ya kijani hiyo ni "uphill task", na hilo sharti la kupata utajiri kutoka kwa huyo mganga wako ni gumu.๐๐๐
Ohk shukran sanaa nitajaribu kuitafuta hahahaha nyeusi mm sina ninazo ya blue๐๐๐Iliki za Kijani zinapatikana Misalai ni kwenye milima ya Muheza Tanga
Kwenye hekari moja unaweza kuzalisha kiasi gani?Milima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima. Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
Kule Kagera naona wamekoma kulima baada ya kukosa soko.Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja
Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero
Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko
Sent from my SM using Tapatalk
Walimu tu soko liko Mombasa na CommoroKu
Kule Kagera naona wamekoma kulima baada ya kukosa soko.
Yahani nilikuwa huko takriban miezi 3 ilopita nikakuta hali hiyo, waliokuwa nazo wanazigawa bure, hadi wanywa gongo wanajiwekea ๐๐๐Walimu tu soko kiko Mombasa na Commoro
InasikitishaYahani nilikuwa huko takriban miezi 3 ilopita nikakuta hali hiyo, waliokuwa nazo wanazigawa bure, hadi wanywa gongo wanajiwekea ๐๐๐
Ndugi yangu acha ushamba iliki za kijani zipo na nyingi zao hutoka india ila nimesikia tanzania wameanza kulima na wao na kama hujii iliki kijani ina bei kubwa kushinda hii ya kawaida
unaniita mshamba !!?,je, umeanza matusi?!
Yahani nilikuwa huko takriban miezi 3 ilopita nikakuta hali hiyo, waliokuwa nazo wanazigawa bure, hadi wanywa gongo wanajiwekea
Mfumo wetu mbovu sanaKu
Kule Kagera naona wamekoma kulima baada ya kukosa soko.
Mpotezee...
Kwani we mshamba kweli?
mkuu mashamba ya iriki wanakodisha,je inachukua muda gani mpaka uvuneMsimu umeshaisha sahv mkuu
Sana sana shambani wanauza kg 1 20000 shambani iliki kavu
Ova
mkuu nisaidie na mimi kizuri kula na mwenzioSasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm
Usijali mm syo mchoyo wa connection
Ova