Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,447
Bado upo, people come and go mkuu....muhimu ni uzima...Huu uzi bado upo?
Last time nimechangia was 2012....leo kuna muungwana kaufufua...
Bado upo, people come and go mkuu....muhimu ni uzima...Huu uzi bado upo?
Great idea kama una sufficient landLima nyasi uwe unafunga hay unauzia wanenepeshaji wa ng'ombe!
Poa babyKaka umefikia WAP kuna jambo naomba unisaidie tafadhali
Kwani zinaweza kukua sehem yeyote au ni Tanga pekeeeMashamba makubwa ya pilipili manga yanapatikana Amani Muheza Tanga. Huko ulikoenda mkuu wako kwenye majaribio kama eneo lao linafaa kwa kilimo cha pilipili manga. Nakushauri tembelea Amani Muheza ukajionee mwenyewe kilimo cha mazao ya viungo, kwa taarifa karafuu ya amani ni nzuri kuliko ya karafuu ya Pemba. Zipo daladala nyingi zinanzia safari Muheza kupitia milima ya Usambara Mashariki hadi Amani, ni mwendo wa saa moja kutoka Muheza.
Pilipili manga siyo zao la msimu, ukiwa na chanzo kizuri cha maji ya kunyweshea shamba utakuwa na mzigo wa kupeleka sokoni kila mwezi.
Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasalianeMpela mpela tu mpaka kieleweke mkuu
Ova
Msimu umeshaisha sahv mkuuMsaada Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasaliane
Habari
Ova
Kwa debe bei ganiMsimu umeshaisha sahv mkuu
Sana sana shambani wanauza kg 1 20000 shambani iliki kavu
Ova
Sasa pm nakutumia namba yanguKwa debe bei gani
Nitashukuru Sana kwa kweliSasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm
Usijali mm syo mchoyo wa connection
Ova
Ntakunganisha na jamaa zangu wa shambani usiogope......Nitashukuru Sana kwa kweli
Sawa mkuuNtakunganisha na jamaa zangu wa shambani usiogope......
Hata mm nimeuza sana mombasa na kampala
Ova
mkuu samahani naomba unielekeze mashamba ya hiriki vp wanakodishaje,je ukitaka kuwa middlemen vijiji vipi vizuri huko tanga ambavyo vipo karibuKaribu
Ova
Duh bei ni 14000 mpk 15000 sahv kununua!
Hao waliwapiga labda wameona mlitaka ya matumizi binafsi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani kipindi unafanya kusafirisha ulitumia maloli au mabasi ya abiria je kuna ushuhuru wowote au documents ambazo unatakiwa uwe nazo msaada plsNtakunganisha na jamaa zangu wa shambani usiogope......
Hata mm nimeuza sana mombasa na kampala
Ova
Sidhani, mazingira ya amani no uwanda was baridi zaidi kule