Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Kweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja

Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero

Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko

Sent from my SM using Tapatalk
 
Duh Safi sana....kweli vanilla iko juu
Nlifatiliaga kidogo sana ila sijawahi ku deal nayo...ni sina uzoefu nao sana
Vp masoko yake yako vizuri
Ni kweli watz huwa tunaishia kupiga domo matendo zero

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Safi sana....kweli vanilla iko juu
Nlifatiliaga kidogo sana ila sijawahi ku deal nayo...ni sina uzoefu nao sana
Vp masoko yake yako vizuri
Ni kweli watz huwa tunaishia kupiga domo matendo zero

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nchi ya nje na ukiangalia vanilla ni zao la ghali sana na usafirishaji ni rahisi sana (kwa ndege)
Wao wanauza kwa US $ 580 kwa kilo moja ambayo sio mbaya tunapata faida
Sasa fikiria tungekuwa na walimaji wa uhakika Tz na kuwa na msimamo haswa wa kufanya kazi nafikiri tungefika pazuri

Kila la kheri mkuu

Umeongea ukweli mtupu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kufahamu zaidi kuhusu iriki na masoko yake,soko lake tanzania liko vipi upana wake na sehemu zake natamani pia kujifunza kuhusu upatikanaje wake niwamsimu na kama wamsimu ni msimu upi..Natamani kuelewa zaidi kuhusu hiriki
 
Habari za leo wana JF?
Jamani nauza hiliki kwa anaye hitaji tuwasiliane mapema sabab msimu wa hiliki kwa mwaka huu unaenda mwisho.
Kilo ni Tz shilling 20,000 ukifwata ukitaka utumiwe ni 25000.
mzigo upo ata ukitaka kg 300
Nipo Tanga kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 0746756229.
By midle man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0715591141 nipigie saa nne sahv kdg hatutaelewana hapa mzee .....karibu

Ova
 
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kutujalia uzima (mimi na wewe).

Lengo la kuandika hii tread ni kwamba natafuta bosi ambaye ananunua iliki, hii ni baada ya kuuza hili zao kwa bei ya chini sana kwa madarali.

Hivyo naitaji tajiri wa uhakika ili tuweke bond na kumuuzia izi mbegu, moja kwa moja badala ya kutegemea madarali.

Na kama wewe unaye soma hii thread sio Tajiri, lakini kuna mtu unamfaham (mnunuzi) itakuwa powa ukanipa contacts zake kwaajiri ya mawasiliano.

Kuusu bei na jinsi ya kuupata mzigo, tupia namba inbox kwaajiri ya mawasiliano.

Tafadhali usipuuze sio Kiki, pia utani na lugha za kuudhi sio mahala pake.
Kaka umefikia WAP kuna jambo naomba unisaidie tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom