Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,433
- 45,701
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheapKweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja
Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero
Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko
Sent from my SM using Tapatalk