Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
Juani tu....ila kuna wengine wanakausha kwa kutumia moto wa kuni ila ukiwa mjanja utaijua tu maana inababuka
Maana wanajiweka iriki juu ya bati moto kwa mbali uko chini yake wakaushaji hao huwa wanataka hela ya fasta...
Juani iriki inachkua siku3 kukauka jua likiwepo lkn kali

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
Lakini naona huko wana kausha vibaya maana sijaona za kijani kabisa kama zinazotoka india au Guatemala
Na za kijani ndio zina bei kubwa zaidi

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hata tangawizi zao hazina ubora Sema zimearibu soko la tangawizi ila kwa waelewa wanajua iriki na zao toka hku ni bora

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani ni bora zaidi kwani ni organic na hatuna haraka ya mafanikio na kutengeneza soko la nje.

Nchi hizo zingine wanazalisha kwa ajili ya kuuza nje kwenye nchi ambazo wanahitaji zaidi kama ulaya na uarabuni.

Waazalisha kwa gm na packaging nzuri na experience yao na kujulikana kwao katika masoko ya nje kwa miaka mingi ndio inawaweka juu

Hivi black cardamom tunazalisha pia, samahani lakini

Iriki nyeusi sijawahi kutana nayo mkuu
Labda ktk mizunguko yngu mbeleni ntakuja kugumiana nayo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbani ni bora zaidi kwani ni organic na hatuna haraka ya mafanikio na kutengeneza soko la nje.

Nchi hizo zingine wanazalisha kwa ajili ya kuuza nje kwenye nchi ambazo wanahitaji zaidi kama ulaya na uarabuni.

Waazalisha kwa gm na packaging nzuri na experience yao na kujulikana kwao katika masoko ya nje kwa miaka mingi ndio inawaweka juu

Hivi black cardamom tunazalisha pia, samahani lakini

Sent from my SM using Tapatalk
Kweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom