Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

wabongo bhana hakuna ambae hajaelewa solo ulimaanisha soko ,yaani ilimradi wasumbue tu nadhani kwa tz inawatumiaji wachache sana labda kama yaweza kuwa nyingi ucheki nje
 
Kamanda kwma! Wanaaemaje huko aise Nime switch kwenye mazao kwa muda ile biashara yetu ya mwanzo naona imekuwa ngumu wanunuzi wote wamekula kona!
Any way kuhusu iriki nishapata order sehemu
Ntakupigia simu muda si mrefu tubonge

Ova
 
Wana panda na migomba kuleta kivuli shambani
Hivi karibuni nlikuwa Milima ya usambara tanga nlienda kufata iriki, nlikuwa sehemu za lutindi...nmezunguka maeneo mengi Huko yenye iliki changamoto kubwa sahivi ni hali ya hela maana wanapata Tabu sana kuanika iliki kutokana na jua halipigi sana.....hata hicho nimefanikiwa kupata iriki

Ninakumbuka zamani walikuwa wanaanika Muheza nje ya ofisi za GAPEX jioni wanalala guest house. Zikikauka wanaiuza GAPE X wanafanya shopping na kurudi milimani
 
Kamanda kwma! Wanaaemaje huko aise Nime switch kwenye mazao kwa muda ile biashara yetu ya mwanzo naona imekuwa ngumu wanunuzi wote wamekula kona!
Any way kuhusu iriki nishapata order sehemu
Ntakupigia simu muda si mrefu tubonge

Ova
safi sana mkuu ile biashara yetu kwa chuga bado iko poa ila mizigo ndo haitoki wazalishaji wamekaziwa sana
 
Huko si mpaka uuze pic!hapa dar wahindi wote wamefunga ofisi wamenda kwao mozigo tunapiga mayo picha tu....sijui lini watafungua export

Ova
 
Ninakumbuka zamani walikuwa wanaanika Muheza nje ya ofisi za GAPEX jioni wanalala guest house. Zikikauka wanaiuza GAPE X wanafanya shopping na kurudi milimani
Zao la iriki hilo ngoja tuwakee ka picha wadau

Ova
IMG-20180731-WA0018.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasambaa wa Amani wakishauza iliki wanakuwa na jeuri ya pesa
Ohk!mimi nishawazoea wasamba wa lutindi kwenda juu huko Sema kwenye bei ya kuuza iriki wanalopoka tu hawajui kuwa sokoni kuna wakati bei inashuka
Sema nlipata soko mombasa walikuwa wananunua kwa 27000/ tsh
Wanunuzi dar ulaliaji mwingi alafu kufata iriki yenyewe hawawezi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohk!mimi nishawazoea wasamba wa lutindi kwenda juu huko Sema kwenye bei ya kuuza iriki wanalopoka tu hawajui kuwa sokoni kuna wakati bei inashuka
Sema nlipata soko mombasa walikuwa wananunua kwa 27000/ tsh
Wanunuzi dar ulaliaji mwingi alafu kufata iriki yenyewe hawawezi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa likizo ninanunua kilo moja tunagawa na dada yangu. Siku moja nilishangaa kuambiwa kilo ni 30,000 nusu 15,000
 
Zao hili labda kama kwa sasa wamebadilisha namna ya ukaushaji wake,
Nilimuomba jamaa anitumie sample kwani nilipata soko la uhakika la spices aina zote
Matokeo yake naona alinunua kariakoo sokoni maana rangi tu niliamua kutopeleka kwa mteja,

Ilikuwa ni rangi ya kaki imepauka kwani huanikwa juani na kupoteza rangi kabisa.

Sent from my SM using Tapatalk
 
Pia haukuwa msimu wa mavuno. Safari hii nitaagiza kwa wale wadada wanaokwenda huko juu kuona ndugu na jamaa
Sahvi msimu wake wengi wameanika
Juani si unajua wanaanika iriki juu ya paa zao....kwa mununuzi we kila ukipita ni kuangaza macho juu ya paa ukiona iriki we wafate wenyewe ikikauka unawamaliza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zao hili labda kama kwa sasa wamebadilisha namna ya ukaushaji wake,
Nilimuomba jamaa anitumie sample kwani nilipata soko la uhakika la spices aina zote
Matokeo yake naona alinunua kariakoo sokoni maana rangi tu niliamua kutopeleka kwa mteja,

Ilikuwa ni rangi ya kaki imepauka kwani huanikwa juani na kupoteza rangi kabisa.

Sent from my SM using Tapatalk
Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
 
Sahvi msimu wake wengi wameanika
Juani si unajua wanaanika iriki juu ya paa zao....kwa mununuzi we kila ukipita ni kuangaza macho juu ya paa ukiona iriki we wafate wenyewe ikikauka unawamaliza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishauza wananunua bati na kusomesha watoto. Hapo mama atanunuliwa vitenge vya wax.
Iliki ni kiungo chenye thamani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom