Kilimo cha hiriki cardamoms

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
35,444
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
35,444 2,000
Bei ya mlimani iko chini nguvu yako tu kuwapandia....
Slogan yngu ktk maisha mm ktk mambo nkifanyaga "sikusubiri chini nakupandia huko huko juu,tutaelewanaa"

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia haukuwa msimu wa mavuno. Safari hii nitaagiza kwa wale wadada wanaokwenda huko juu kuona ndugu na jamaa
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Zao hili labda kama kwa sasa wamebadilisha namna ya ukaushaji wake,
Nilimuomba jamaa anitumie sample kwani nilipata soko la uhakika la spices aina zote
Matokeo yake naona alinunua kariakoo sokoni maana rangi tu niliamua kutopeleka kwa mteja,

Ilikuwa ni rangi ya kaki imepauka kwani huanikwa juani na kupoteza rangi kabisa.

Sent from my SM using Tapatalk
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Pia haukuwa msimu wa mavuno. Safari hii nitaagiza kwa wale wadada wanaokwenda huko juu kuona ndugu na jamaa
Sahvi msimu wake wengi wameanika
Juani si unajua wanaanika iriki juu ya paa zao....kwa mununuzi we kila ukipita ni kuangaza macho juu ya paa ukiona iriki we wafate wenyewe ikikauka unawamaliza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
35,444
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
35,444 2,000
Zao hili labda kama kwa sasa wamebadilisha namna ya ukaushaji wake,
Nilimuomba jamaa anitumie sample kwani nilipata soko la uhakika la spices aina zote
Matokeo yake naona alinunua kariakoo sokoni maana rangi tu niliamua kutopeleka kwa mteja,

Ilikuwa ni rangi ya kaki imepauka kwani huanikwa juani na kupoteza rangi kabisa.

Sent from my SM using Tapatalk
Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
35,444
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
35,444 2,000
Sahvi msimu wake wengi wameanika
Juani si unajua wanaanika iriki juu ya paa zao....kwa mununuzi we kila ukipita ni kuangaza macho juu ya paa ukiona iriki we wafate wenyewe ikikauka unawamaliza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishauza wananunua bati na kusomesha watoto. Hapo mama atanunuliwa vitenge vya wax.
Iliki ni kiungo chenye thamani sana
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
Juani tu....ila kuna wengine wanakausha kwa kutumia moto wa kuni ila ukiwa mjanja utaijua tu maana inababuka
Maana wanajiweka iriki juu ya bati moto kwa mbali uko chini yake wakaushaji hao huwa wanataka hela ya fasta...
Juani iriki inachkua siku3 kukauka jua likiwepo lkn kali

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Hiliki inatakiwa ikauke kwa kubembelezwa chini ya mti
Lakini naona huko wana kausha vibaya maana sijaona za kijani kabisa kama zinazotoka india au Guatemala
Na za kijani ndio zina bei kubwa zaidi

Sent from my SM using Tapatalk
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Ungepata dili ya kupeleka supermarket South Africa
Hiyo ndy mipango Sasa
Maana licha ya ugumu wa kukusanya iriki kutokana na Mazingira milima,baridi lkn kwangu syo kesi
Iriki inapatikana tu kwa style yoyote iwepo jua au mvua
Kama una connection tuyajenga maana huko south kama home tu mbona

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Lakini naona huko wana kausha vibaya maana sijaona za kijani kabisa kama zinazotoka india au Guatemala
Na za kijani ndio zina bei kubwa zaidi

Sent from my SM using Tapatalk
Iriki ya India haina ubora kama ya kwetu
Usiangalie ukijani ya India ni chemical processed tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Lakini naona huko wana kausha vibaya maana sijaona za kijani kabisa kama zinazotoka india au Guatemala
Na za kijani ndio zina bei kubwa zaidi

Sent from my SM using Tapatalk
Hata tangawizi zao hazina ubora Sema zimearibu soko la tangawizi ila kwa waelewa wanajua iriki na zao toka hku ni bora

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
35,444
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
35,444 2,000
Iriki ya India huwezi ifananisha na ya tanga basi tu!nishakutana samples oman walizifanyia vipimo ili pita Bila shida
Sema hayo mazao mengine toka nchi hzo bei zao ni chini ila ubora hamna kitu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutafuta soko Misri ni watumiaji wazuri pia
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Hata tangawizi zao hazina ubora Sema zimearibu soko la tangawizi ila kwa waelewa wanajua iriki na zao toka hku ni bora

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani ni bora zaidi kwani ni organic na hatuna haraka ya mafanikio na kutengeneza soko la nje.

Nchi hizo zingine wanazalisha kwa ajili ya kuuza nje kwenye nchi ambazo wanahitaji zaidi kama ulaya na uarabuni.

Waazalisha kwa gm na packaging nzuri na experience yao na kujulikana kwao katika masoko ya nje kwa miaka mingi ndio inawaweka juu

Hivi black cardamom tunazalisha pia, samahani lakiniSent from my SM using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,304,151
Members 501,282
Posts 31,504,691
Top