Bwana Mpanzi
Senior Member
- Jun 28, 2019
- 180
- 165
Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.