Kilimo cha bustani mjini (video)

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,557
21,034
Ndugu wakulima na wananchi kwa ujumla, kama una eneo dogo katika nyumba yako usiridharau linaweza kukusaidia ukaweka mimea michache ambayo itasaidia kukupatia chakula kama nyanya, vitunguu, pilipili, spinachi, mchicha, nyanya chungu, bamia n.k. Sio kazi ngumu maana hata mtu anayefanya kazi anaweza kuhudumia mimea hiyo



 
Naomba tujifunze vitu kutoka kwa wenzetu. Maisha yamekuwa magumu tupunguze gharama kwa kutumia mbinu hizi. Watanzania wenzangu hivi vitu ni rahisi sio lazima kununua vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza kuzalisha na kuhudumiwa hata na dada wa kazi na wewe ukafanya supervision jioni utokapo kazini

Tupunguze gharama ya Maisha mtu una eneo unashindwa hata kupanda mlimao mmoja ukasaidia jikoni miaka nenda rudi. Tubadilike
 
Back
Top Bottom