tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 566
Habari wakuu,
Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa nimetaja hapo juu, alizeti, michikichi, na ufuta.
Tuko na ardhi tele yenye rutuba, na yenye uwezo wa kilimo cha hii mimea, Sasa mimi najua sehemu za michikichi ni kigoma, alizeti mingi inapatikana siginda, na ufuta mikoa ya kusini kaa sikosei. Sasa wakuu niko na nia ya kuu ya kupunguza hii tatizo ya bei ya mafuta kupanda kila mara, ile kitu au msaada nahitaji toka kwenu wakuu ni hii, je isipokuwa hizo sehemu nimetaja, yaani michikichi ni kigoma, alizeti ni singida, na ufuta ni huko kusini lindi na mtwara, kaa kuna sehemu zingine ambazo hizi mimea zinakuwa au hufanya vizuri, basi naomba tafadhali munipee taarifa, maana mimi hizo ndizo sehemu tu mimi najua zinakuwa kwa wingi.
Lakini kaa kuna mtu anajua sehemu zingine ambazo hii mimea hukuwa pls nijulisheni.nia yangu ni kulima na kuprocess na kutengeneza hii mafuta ya kura, na pia hii itatupunguzia utumiaji wa fedha za kigeni tunazotumia kuangiza kitu kaa palm oil and vitu kaa hizo.
Nielezeni zile sehemu naweza pata alizeti, michikiti na ufuta kwa wingi zaidi.
Natanguliza shukurani, asanteni sana wakuu.