Kilimo bora cha Nyanya Tanzania

N

ntamwangah

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Messages
164
Points
195
N

ntamwangah

Senior Member
Joined Jan 16, 2013
164 195
Wanajamiiforums kama mjuavyo mleta maendeleo katika Nchi yetu nzuri ya Tanzania kwanza ni Mimi mwenyewe binafsi,hivyo neamua kujiajiri katika kilimo has a kilimo cha Nyanya,ninaomba elimu kwa wataalamu na wabobezi ktk Nyanya, mnieleweshe hatua za uandaaji Wa kitalu cha kuotesha mbegu kuanzia I navy often gene kwa na mbolea no IPI nzr kupandia,je nikiweka samadi lazima niweke hizi za dukani kama ndiyo ni zipi,je kwenye kitalu lazima niweke dawa je ni IPI, ninapohamisha mche mbolea gani inatakiwa ya kupandia na nitapanda baada ya mda gani,dawa gn nzr kwa kinga ya magonjwa na wadudu,
 
Mpigamaji

Mpigamaji

Member
Joined
Oct 24, 2018
Messages
51
Points
125
Mpigamaji

Mpigamaji

Member
Joined Oct 24, 2018
51 125
Kama umeweza kupata bando ya kuingia JF naamin unabando ya kutosha kuweza kugugo hayo maelezo unayo hitaji kuliko kututesa utake tuandike majibu marefu kama magazeti hapa
 

Forum statistics

Threads 1,304,159
Members 501,282
Posts 31,504,846
Top