Kilimo au ujambazi/wizi


M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
2,972
Likes
1,381
Points
280
Age
50
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
2,972 1,381 280
Kilimo kWanza, big result now

Serikali iandae mashamba ya kutosha na mitaji watanzania waanze Kilimo...

Ajira za utalii zinaenda kwisha na Tanzania kuwa Taifa la giza, No tourists

Pia serikali itafute masoko ya mazao nchi za Saudi Arabia na ULAYA

Bila hivyo, hawa vijana watakaopoteza ajira watajikute wanakufa njaa au kufia gerezani kama sio kupigwa risasi

TAX on TAX (Park Fee Plus VAT) .....

Kwa nini wasiongeze park fee, ili serikali ichukue pesa yake kwa mkono mmoja

Unapokea pesa kwa mkono wa kulia na kushoto.....
 

Forum statistics

Threads 1,235,911
Members 474,863
Posts 29,240,352