Kilimanjaro zamani kempiski hotel imeuzwa tena??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro zamani kempiski hotel imeuzwa tena???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGEUZI KWELI, Aug 12, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  NAKUMBUKA ILIKUWA IKIITWA KILIMANJARO HOTEL...MZEE REGINALD MENGI ALITAKA KUINUNUA NA MCHAKATO NDANI YA SERIKALI ULIKUWA MKUBWA KATI YA MENGI NA WILSON MASILINGI WAZIRI WAKATI ULE. NA KATIKA HARAKATI ZILE MASILINGI HAKUWA TAYARI KUMWONA MENGI AKIMILIKI KILIMANJARO HOTEL. NA BAADAYE MENGI AKASEMA LIVE KUWA KWENYE HARAKATI ZA KUINUNUA HATAKI MCHEZO MCHAFU, NA ILIKUWA NI KAULI NZITO KWA MTU KAMA YULE NA WANASIASA WENGI WALIONA SERIKALI HAIKUPENDA WAZAWA KUMILIKI RASILIMALI ZA NCHI.SASA WALIOINUNUA WAMEUZA KINYEMELA KAMA KAWAIDA YA UWEKEZAJI WA TANZANIA KUKWEPA KODI.NINI KINACHOFANYWA NA SERIKALI KWA WATU KAMA HAWAAAA?? NA HAPA NINAAMINI KUNA MNENE KATIKA CCM NAYE ANAKIFUNGU CHA ZAIDI YA 30% KULIKUWA NA SHERATON HOTEL IKAUZWA NA KUWA ROYAL PALM HOTEL NA IKAUZWA TENA NA SASA MOVENPICK HOTEL..NA MWAKA HUU INAWEZEKANA IKAUZWA TENA...SERA ZA UWEKEZAJI ZILIZOANZISHWA NA CHAMA CHA MAJAMBAZI ZINAUA TAIFA NA SASA NI LAZIMA WATU WENYE UCHUNGU NA NCHI HII TUZIKEMEE KABISA NA KUZIKATAA KAMA DONDA NDUGU..TANZANIA BILA UFISADI INAWEZEKANAAAA.A...peoples power..
   
 2. aye

  aye JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  kuna tetesi kwamba ilikuwa mali ya Gadafi sasa kaamua kuuza kwa bill gates ndo kilichomleta bill gates TZ
   
 3. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kuuza na Kununua ni mambo ya kawaida kwenye Biashara na hasa Uwekezaji.. Cha msingi sheria zetu zihakikishe kwamba mwanya wa kuuza kwa nia ya kulipa kodi kunawekwa bayana kwenye mikataba. Kama ilivyo kwa watu binafsi huwezi nunua gari likaanza kukusumbua halafu ukaendelea kuliweka barabarani. Ni gharama kubwa mno.. Bora uondokane nalo ili mnunuzi mwingine aje kwa mkakati mwingine - aidha ana mtaji wa kutosha ili alifufue. au aulinunue kama kisima cha vipuri..yote haya ni sawa kwen ye kitu inayoitwa biashara
  Tukirudi kwenye hoja.. kama hoteli ilikuwqa inafanya b iashara kwa faida na serikali through TIC walidhibiti mwenendo wa kibiashara.. halafu mmiliki anataka kuiuza kwa sababu kluanzia mwaka unaofuata inatakiwa aanze kulipa kodi.. Huu ni mchezo mchafu na unapaswa kudhibiktiwa katika mikataba ya uwekezaji... Tuige wenzetu walioendelea.. Say Uk na USA.. Ukinunua say Nyumba/Kiwanda unatakiwa kukaa nayo kwa miaka labda mitatu na pia mwaka unaokuwa huru kuuza unalipa kodi ya mwaka huo Mwanzoni mwa mwaka kwa serikali kabla ya kuuza. Hii itaondoa "hisia" kwa wananchi kwamba wanuza ili walipe kodi.. kumbe pengine.. mahesabu ya mwekezaji yameenda kombo.
  Je uboinafsishamji wetu hauna harufu wa rushwa?? Sheria nazo ziweke bayana michakato ya kubinafsisha na wazao wapewe kipaumbele.
  Angalizo kubwa ni kwamba: chama legege huzaa serikali legelege, Serikali legelege haiwezi kukusanya kodi, Na kushiondwa kukusanya kodi ni kielelezo cha RUSHWA KUBWA- Julius K. Nyerere
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Na bado!!!
   
Loading...