Kilimanjaro yashuka kwenye kura

duh noma
us.jpg
 
mimi nitapiga mara nyingi na ni vizuri wizara ya mambo ya utalii huko Tanzania ikahamasisha watu wengi wapige kura kwa kutoa vipeperushi na hata kupitia TV na radio na magazeti mbalimbali. Kwani huko ni kukuza utalii wenu.
 
wasio na mitandao watumie namba za simu+23 9220 1055
+1 869 760 5990
+1 649 339 8080
+44 758 900 1290

After the tone insert 7716 - which counts as one vote for Kilimanjaro in the Official New7Wonders of Nature..
 
nisaidieni wajameni, ili jambo liwe la ajabu kura zinatumika!! mimi nauona mlima kilimanjaro ni wa kawaida tu, vigezo vyote mnavyovitumia kuufanya kilimanjaro ni ya ajabu siyo vyenu.
 
Back
Top Bottom