NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 368
UKipitia website Voting Trends | New7Wonders of Nature rank ya mlima Kilimanjaro inashuka katika kuingia kwenye maajabu saba ya dunia, ipigie nchi ya kura.
bofya hapa New7Wonders of Nature utakuta kila kitu jinsi ya kuvote, na vote trendsnijuze mkubwa how to vote ,duh noma
kapige kuraduh noma
Kura za kuchakachua hazifai.Nimeshapiga kura yangu tayari