Kilimanjaro yaongoza Wanaume kuadhibiwa na wake zao

We akikupiga furesh tu

Ila wewe ukiwa naye usiku msulubu kunako kitanda ....

Mwanamke apigwi migumi mituke we mpe mikito ya maana tu 😂😂

Ova
Hata kama ndio anipige sasa hii hapana mkuu
 
1642428880472.png
 
Hizi habari za wanaume wa Kilimanjaro zinakuwaga Kama za uchonganishi hivi, Mara waseme Wanawake wa Rombo wanakodi wakenya kuwashughulikia, Sasa Ni Wanawake kutembeza vichapo kwa waume zao. Kama Ni kweli Kuna mahala wanaume wanakwama
 
Ukiona wanakusema sema ujue wanakukubali Ila jinsi ya kukufikia ndio shida.
 
Hizi habari za wanaume wa Kilimanjaro zinakuwaga Kama za uchonganishi hivi, Mara waseme Wanawake wa Rombo wanakodi wakenya kuwashughulikia, Sasa Ni Wanawake kutembeza vichapo kwa waume zao. Kama Ni kweli Kuna mahala wanaume wanakwama
Hapa Wachagga inatakiwa watueleze ukweli
 
Back
Top Bottom