Kilimanjaro yaongoza Wanaume kuadhibiwa na wake zao

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,032
2,000
mtu unakunywa pombe unalegea kama mlenda, mpaka nguvu za kiume zinakuishia, kama wa rombo unategemea nini?

ili mwanamke awe mpole, mwanaume uwe mkakamavu, na mabavu na nguvu hasa za kiume,

mwanamke ukimtafuna vzr na kumgeuza kibabe au kwa kupenda yeye mpaka aumie na kutoa uharo, hapo ndo utaheshimiwa. Ukijilegeza lazma upewe adhabu.
Atoke uharo?
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
8,818
2,000
Wewe mtoa mada hujafika Kyela na Tukuyu.
Kule mwanamme hakohoi mpaka mama atoke kwenda kutafuta pesa.

Wanaume wengine wanaoumia Ni ndugu zangu wa Toronto hasa baada ya kulishwa Ile kitu maarufu kule Toronto.

Wengine wanaoumia kimoyomoyo wako Chigoma.
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,069
2,000
Chezea mpalestina, inaonekana mamzi za kichaga na kiarusha zina ubabe ubabe sana............waleteni huku Mara waone mziki.
Wakakutane na akina chacha, Mwita, Gati, Wambura, na wengine kweli watakaa
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
6,440
2,000
Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa kinara kwa wanaume kuadhibiwa na wake zao.

Mkoa huo umekuwa maarufu kwa wanawake kuwaadhibu waume zao pindi wanapokosea pia kati ya wilaya zake zote wilaya ya Moshi ndio kabisa inaongoza kwa wanaume kuadhibiwa na wake zao.

Hii ni kwamjibu wa Mtandao wa kutoa huduma ya msaada wa kisheria Tanzania (TANLAP)
 
12FD54EA-817F-451F-851F-0F633AB261EE.jpeg
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
61,967
2,000
We akikupiga furesh tu

Ila wewe ukiwa naye usiku msulubu kunako kitanda ....

Mwanamke apigwi migumi mituke we mpe mikito ya maana tu 😂😂

Ova
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,069
2,000
Wewe mtoa mada hujafika Kyela na Tukuyu.
Kule mwanamme hakohoi mpaka mama atoke kwenda kutafuta pesa.

Wanaume wengine wanaoumia Ni ndugu zangu wa Toronto hasa baada ya kulishwa Ile kitu maarufu kule Toronto.

Wengine wanaoumia kimoyomoyo wako Chigoma.
Kwa Kyela na Tukuyu wanawake ni watafutaji na utafutaji wao ni kuchepuka kingine wanawake wengi hawana wanaume yaani familia nyingi utakuta mwanaume hakuna sasa hapo inasemekana wanawake wana ubabe wa traditionally
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom