Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,069
- 2,000
Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa kinara kwa wanaume kuadhibiwa na wake zao.
Mkoa huo umekuwa maarufu kwa wanawake kuwaadhibu waume zao pindi wanapokosea pia kati ya wilaya zake zote wilaya ya Moshi ndio kabisa inaongoza kwa wanaume kuadhibiwa na wake zao.
Hii ni kwamjibu wa Mtandao wa kutoa huduma ya msaada wa kisheria Tanzania (TANLAP)
View attachment 2085064