Kilimanjaro Yaongoza Kwa VVU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro Yaongoza Kwa VVU.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoto wa Mkulima, Oct 26, 2007.

 1. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kilimanjaro Yaongoza Kwa VVU.
  Wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wanashika nafasi ya kwanza, kwa kupima virusi vya ukimwi kwa hiari.

  Rais Kikwete alizindua kampeni ya kitaifa ya kupima virusi vya Ukimwi kwa hiari Julai 14, mwaka huu katika viwanja vya mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

  Ripoti ya utekelezaji wa kampeni hiyo, inaonyesha kuwa Mkoa wa Kilimanjaro unashika nafasi ya kwanza, kwa kuwa na watu wengi waliojitokeza na kupima afya zao.

  Ripoti hiyo yenye takwimu zinazoanzia Julai 14 hadi Oktoba 16 mwaka huu, inaonyesha jumla ya watu 118,656 katika mkoa wa Kilimanjaro wamejitokeza na kupima afya zao, ambapo wanaume ni 53,536 na wanawake 65,120 ambayo ni sawa na asilimia 73.

  http://www.darhotwire.com/home/news/2007/10/25/kilimanjaro_yaongoza_kwa_vvu.html
   
 2. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita yangu nikakutana na hii habari. Nadhani kichwa cha habari kinawalakini wangeandika Kilimanjaro ya ongoza kwa kupima ukimwi badala ya waliyoandika.
   
Loading...